famicho
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,192
- 2,823
Habari za wikiendi wanajamvi,
Kila siku nimekuwa nikiwaza kuhusiana na ukweli wa uwepo hivi viumbe, na napata hamasa zaidi pale viongozi/watumishi wanavyo vielezea viumbe hivi.
Kwa muktadha huo, nimeamua niombe kupata walau picha ya hivi viumbe ili niondoe hili dukuduku langu, maana naishia kusikia kuwa wana sura mbaya kama mioyo ya watu flani flani katika jamii zetu.
Natumaini humu kuna wajuzi wa kila idara, na hata hili naamini nitasaidiwa katika hili.
Karbuni;
Cc: mshana jr, mzizimkavu, lizabon
Viongozi wa dini na kiroho.