Nina shida na picha za jini/shetani

famicho

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,167
2,782
Habari za wikiendi wanajamvi,

Kila siku nimekuwa nikiwaza kuhusiana na ukweli wa uwepo hivi viumbe, na napata hamasa zaidi pale viongozi/watumishi wanavyo vielezea viumbe hivi.

Kwa muktadha huo, nimeamua niombe kupata walau picha ya hivi viumbe ili niondoe hili dukuduku langu, maana naishia kusikia kuwa wana sura mbaya kama mioyo ya watu flani flani katika jamii zetu.

Natumaini humu kuna wajuzi wa kila idara, na hata hili naamini nitasaidiwa katika hili.

Karbuni;

Cc: mshana jr, mzizimkavu, lizabon
Viongozi wa dini na kiroho.
 
Mkuu hakuna moyo wenye sura mbaya.

Moyo wako ina sura kama ya moyo wa mbuzi tu nenda buchani ununue uone na zinafanans na ya mtu meingine.

Hayo ya kusema jini ana sura mbaya, mara shetani ana sura mbaya ni uongo tu ili uogope.

Majini ni warembo kama walivyo malaika.

Kumbuka watu wanaongea mamho ya kufikirika akilini hakuna uhalisia.
 
Ndio maana nahitaji kuziona hizo picha zao, mana nimechoka maneno ya kuambiwa kama ulivyofanya wewe hapa, kama ni mrembo we ulimuona wapi? Kama ulimuona tuma picha yake
 
Nenda kwa mkuu mwambie akupeleke kwao si tu ukaone picha zao bali ukaone na maisha yao.
 
1480147806712.jpg
 
Weee jamaa Bana......mashetani yapo mengi njiani kila siku unakula na kutembea nao na kuongea nao tu.....ila anapoamua kuonesha utofauti hakuna anaeweza kumpiga picha...aidha kwa kujawa na hofu tu na ule mshtuko utakaoupata...kilichobaki sasa kwa ile picha uliyooneshwa ndo imagination inapokuja na kuanza kumchora.
 
Habari za wikiendi wanajamvi,

Kila siku nimekuwa nikiwaza kuhusiana na ukweli wa uwepo hivi viumbe, na napata hamasa zaidi pale viongozi/watumishi wanavyo vielezea viumbe hivi.

Kwa muktadha huo, nimeamua niombe kupata walau picha ya hivi viumbe ili niondoe hili dukuduku langu, maana naishia kusikia kuwa wana sura mbaya kama mioyo ya watu flani flani katika jamii zetu.

Natumaini humu kuna wajuzi wa kila idara, na hata hili naamini nitasaidiwa katika hili.

Karbuni;

Cc: mshana jr, mzizimkavu, lizabon
Viongozi wa dini na kiroho.
 
Afu na hii tabia ya kufananisha urembo wa mtu (wanawake) na malaika. Mi ninavojua kuna malaika wa kiume pia. Sasa how come tufanye comparison ya urembo wa Ashura na malaika ambao wengine ni wakiume??
 
Back
Top Bottom