Nina shida na mkopo wa shs mil 4 bond ni gari langu

Nina shida na milion 4 bond gari langu sprinter 111 please cal me 0714064767

Sema kama unauza gari indirect..

Je ukipewa huo mkopo gari utabaki nayo wewe au mdai?

Na pili hiyo gari yako ni ya mwaka gani? Imetumika mda gani? Odometer inasoma km ngapi?
 
Sema kama unauza gari indirect..

Je ukipewa huo mkopo gari utabaki nayo wewe au mdai?

Na pili hiyo gari yako ni ya mwaka gani? Imetumika mda gani? Odometer inasoma km ngapi?
mwaka 1998
kwa muda WA miaka mitatu
km 66988
naweka bond Nina shida na bi mkubwa anaumwa
 
Nina shida na milion 4 bond gari langu sprinter 111 please cal me 0714064767

Waone African Microfinance Ltd, wapo njia ya kwenda Chuo Kikuu (Mlimani) toka Mwenge - kituo cha kwanza cha daladala ukitoka Mlimani City.
Chukua contacts zao kwenye mtandao (just google "African Microfinance Ltd - AML).
Mkopo unapata within 24-48 hrs na riba ndogo sana ukilinganisha na wazushi wengine!
 
Hiyo ya savei ina riba gani tofauti na microfinance nyingine
 
Back
Top Bottom