Nina shida na laki moja au elfu 80 nikopesheni

Visacard

JF-Expert Member
May 12, 2017
233
215
Nimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu
So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biash

ara imeyumba sanaa huku arusha ilboru
nisaidieni ni wapi hapa mjini arusha naweza kukopaa nina shida nazo haraka mnoo ya kutumia siku mbili tatu biashara yangu imeenda chakaa
yaani acha tu nyumbani nikipewa hela nitarudisha home nasbria iingie mimi hupewa laki nane kila miezi 3

Please jamani maana sijui hizi siku kadhaa za ishije
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom