Nina shida na Daktari wa matatizo ya pua

Hakika huwezi kutibu kama hujasomea kikamilifu na uwe mwadilifu na sio mpiga dili
 
Mimi mwenyewe natafuta daktari atakayeweza nifanyia operation. Ukipata nifahamishe mkuu.

Hii shida ishakuwa kero,dawa nimetumia sana Ila wapi.Kila nikimuuliza dokta kwamba hakuna option nyingine nje na dawa?ananiambia vumilia tu endelea kutumia dawa.
 
Back
Top Bottom