Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona j5 nanozo zina 4g model yake ni ipiNina j5 ina siku mbili ni ya 2015 3g ina glass protector na kava la kuvutia vyote vipyaaaa nataka nibadilishane na mwenye j7 ya 4g ya 2015 mpyaaa....
njoo PM tuyajengeeeee naitamani sana hio j7 .utapata na ofa ya kuniona mm japo mbaya.
Sifa ya moyo tamaa
Aaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
ebu weka mambo sawa uelewe bhana hiyo ofa ya kukuona kivipi kukutambua kua wewe ndio girl ama kula mzigo?
Hebu changamkia ofa huko ya kwenda kumuona huyo mrembo..Hiyo nayo ni shida kubwa?
Na wewe nimwachie nani?Hebu changamkia ofa huko ya kwenda kumuona huyo mrembo..
Kwa akili hii hapana aisee labda nikuitie hance mtanashati.Nioe