Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Eti chini sio kiviiile😂wewe huyoo???lol em nitumie namm nione mapochopocho
Nimetimiza ahadi mama masapta masapta: hii ya Leo ni tambi, maini kwa pembeni, na ndizi iliyoungwa na utumbo.
IMG_20190602_190022_618.JPG
 
Wakuu.

Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.

Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?

Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Mm nilsha wahi kutana be nae MMOJA!
 
Back
Top Bottom