Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

We bado ujapigika na life la kitaa kumbe yan had unjipangia mshara!? Una uzoefu,bado ni fresh graduate alaf unapanga mshara kweli!?

Ushauri wangu: unapo tafta kaz na hauna uzoefu ebu usitangaze kwanza mshahara unaoitaji hadharani, na kwa sasa ajira zimekuwa ngumu hasa kwa fresh graduate kwaiyo nivizuri kama ungetafta NGO hasa vile za mashirika ya wakimbizi uombe kufanya internship Hii itakusaidia kupata uzoefu.

Pili usiangaike kutafta kazi kwa kuangalia mshahara, fanya kazi yeyote inayohusiana na field yako ili kupata uzoefu zaidi.
 
Hapo labda kama una connection ndio utapata kwa urahisi zaid ya hapo unaweza ishia kuumizwa kuwa makin, maana wameishajua weakness yako usipoangalia wataitumia ili kukunasa
 
kuna dada namjua alisoma Sauti hiyo sociology akakosa kazi akenda soma masters ya public health bado yupo mtaani hana kazi, anataka hata kazi ya laki 5 lkn hajapata
Hapo nais ameisha kata tamaa maskini
 
  • Tafta kitu unachokipenda alaf ketengenezee mazingira ya kuwa fulsa katika jamii inayokuzunguka.
  • Tafta kitu ambacho ni challenge kwenye jamii yako ukifanye fulsa.
  • Tafta kitu kinachopendwa hapo ulipo ukifanye kwa njia ya tofauti ili kuwavutia zaid watu.
Napenda kuimba, naimba sana ila bado najipanga zaidi, natunga na nyimbo pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom