Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

Napenda kuimba, naimba sana ila bado najipanga zaidi, natunga na nyimbo pia.
Bas fanya hiyo kama fulsa. Na usisubir had uingie studio ndio utoke unaweza anzisha ata page kwenye social networks ukawa unaweka video zako mwisho wa siku ukajikuta unatoka, ama ondoa aibu anza kufanya live show kwenye mahotel ya wastarabu, kumbuka kuna watu wanavutiwa na mziki wa live band tumia hao kama fulsa
 
Shukrani sana mkuu
Bas fanya hiyo kama fulsa. Na usisubir had uingie studio ndio utoke unaweza anzisha ata page kwenye social networks ukawa unaweka video zako mwisho wa siku ukajikuta unatoka, ama ondoa aibu anza kufanya live show kwenye mahotel ya wastarabu, kumbuka kuna watu wanavutiwa na mziki wa live band tumia hao kama fulsa
[/QUOS
 
Mmmmh ww si ulisema ulikuwa unafanya kazi NACTE kitengo cha udahiri badae ukapata TCU kitengo cha udahili wa wanafunzi ?

Au ndo unachangamsha kijiwe nn leo
 
Huu uzi utakujaga kuufuta ukishapata elimu ya mtaani vizuri
 
  • Tafta kitu unachokipenda alaf ketengenezee mazingira ya kuwa fulsa katika jamii inayokuzunguka.
  • Tafta kitu ambacho ni challenge kwenye jamii yako ukifanye fulsa.
  • Tafta kitu kinachopendwa hapo ulipo ukifanye kwa njia ya tofauti ili kuwavutia zaid watu.
Huyu anapenda ngono na kula denda. Kwahiyo awe changudoa sio?
 
Kuna stori moja hivi.

Jamaa aliitwa kwenye interview mahojiano yakawa hivi:

Bosi: Tukikuajiri unataka tukulipe shilingi ngapi?

Kijana: Milioni 1.

Bosi: Unaonaje tukakulipa milioni 2 na nusu?

Kijana: Bosi acha masikhara!!!?

Bosi: Masikhara umeyaanza wewe mi namalizia tu hapa.
 
Huyu anapenda ngono na kula denda. Kwahiyo awe changudoa sio?
Sawa ila asisahau mashine ya kutoa lisit maana nimegundua wao wanaofanya hyo biashara wanaongoza kwa kutokulipa kodi😂😂

Jokes
 
kuna dada namjua alisoma Sauti hiyo sociology akakosa kazi akenda soma masters ya public health bado yupo mtaani hana kazi, anataka hata kazi ya laki 5 lkn hajapata
Mkuu kupata kazi kunatokana na bahati ya familia anayotoka mhusika, Kuna familia ambazo zinasoma kwa kuwa SASAHIVI wigo wa elimu umepanuka, Ila ukirudi kwenye chimbuko la familia hakuna hata aliyewahi ajiriwa, kwa kiasi Kikubwa watu huwa wanasahau hiki kipengele

Siyo ukubwa wa Elimu, kumbuka Vyeti bado vinahitaji uvitete ili upate Ajira maana Vyeti Ni makaratasi. Kwa hivyo Kuna watu wakishasoma hawajui kutafuta kazi, kutafuta kazi Ni kazi kubwa kuliko kusoma Masters inahitajj uwe master mind.
 
Habari za leo wakuu,
Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology.

Sina uzoefu.

Nina miaka 24

Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato.

Natanguliza shukrani wakuu.
Ushajipangia kabisa laki 8 ee, baba zako na PhD wanalipwa laki 5. Anyway huenda una ujuzi wa kutibu korona
 
Umerudi bongo lini mkuu?
Screenshot_2020-07-24-20-16-18-1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom