Nina shahada ya Procurement naombeni msaada wa kupata kazi yeyote ya halali

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
21,229
24,526
Wakuu khabari za wakati huu. Mimi ni muhitimu wa fani ya ununuzi na ugavi (Procurement and Logistics/supply Management) mwaka 2019. Hadi sasa nina uzoefu wa mwaka mmoja baada ya kujitolea kwenye taasisi fulani ya Serikali.

Napatikana Arusha na kama kuna kazi yeyote ya halali basi Niko tayari kufanya.

Mawasiliano ni 0693164420.

Asanteni
 
Kuna kazi zinakuja muda si mrefu tena huko huko Arusha na zipo kwa malipo ya Dollars aisee.

Endelea kujikoki na andaa makaratasi yako vyema.

Kila la heri ndugu...!
 
Wakuu khabari za wakati huu. Mimi ni muhitimu wa fani ya ununuzi na ugavi (Procurement and Logistics/supply Management) mwaka 2019. Hadi sasa nina uzoefu wa mwaka mmoja baada ya kujitolea kwenye taasisi fulani ya Serikali.

Napatikana Arusha na kama kuna kazi yeyote ya halali basi Niko tayari kufanya.

Mawasiliano ni 0693164420.

Asanteni
Uza na kununua malaya
 
Uza na kununua malaya
FB_IMG_1585854401942.jpg
 
Mkuu andika barua mpelekee lampard pale darajani unaweza kupata hata kazi ya kudeki vyoo pale stanford Bridge

Wewe si shabiki kindaki ndaki wa Chelsea
Mwanangu kwenye issue za siriyaz tuwe siriyaz ..Lampard aezi nipa kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom