Nina sarafu za sh 100, 200 na 500; natafuta wa kubadilisha na fedha za noti, au kwa anayejua utaratibu

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,731
2,000
asante mkuu, kila wiki hua napata kias flan cha coin, niliwah enda nmb wao wanakata 10%
Hio Ni legal.., Mbona naona kama ni wizi ? Jaribu kuwasiliana na BOT kuwauliza na kama kweli wanafanya hili huu ni Ujambazi; kama wewe usivyoruhusiwa kuuza chenji
 

RO7 ZA MGOS

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
658
1,000
Mtoa mada una sh ngap hizo coin..watafute wachna wa mabonaza watanunua kias nazani usidanganyike kupeleka benki...huwa wanakata kabsa kitu kingine weka vibanda vya pesa kidogo kidogo mana huo n mzgo hakuna atakayekubali umwachie zote hasa mia mbili na mia moja...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom