Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Feb 12, 2020
46
125
Hahaa Cha kwanza uwe makini ukifika airport Kuna mashine zile Zina maswali very tricky...soma vizuri uelewe swali ndio ujibu, usipay attention kwa wale Askari wanakuharakisha
First day lazima utumie ubber...it's safe and you can pay cash though ni expensive kidogo
Next day go and buy a metro card zinapatikana kwenye bus station in special machine where you keep money and load it on the metro card that you can use for public transport, ni cheap but lazima ujue ur destinations cause no one to direct you
New York is well arranged na all streets and avenue Zina number so you just need to know unaelekea namba gani ya Street on which avenue then huwezi kupotea kabisaa
Food zinapatikana just tembelea supermarket utapata vyakula and you can cook...kula hoteli it's ur choice but upikaji wa vyakula vyao ni tofauti kidogo na sisi...so you will need time kuvizoea..
Enjoy mkuu na ukiwa na swali waulize wazee...vijana have no time kabisaa...
All the best
Ahsante sana Mkuu
 

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,956
2,000
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport.
Umebeba chakula chako?
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,866
2,000
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport.


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom