Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Mie bahat nzuri nilikuta jina langu mwenye tax kashikilia bango..tatizo ni baada ya kushuka kwenye ndege na kwenda kwenye ndege nyingine au kutoka nje ya airpot weweee heehee achaaa..ila kama unajua kingereza itakusaidia...mie bado napaan kabisa aliyefanya tuzoee kuita marekani sijui ni nan dah! Mzungu namuuliza ndege ya marekan naipata wap ananiuliza unasemaje?? Aah akili ikanijia fasta huu msala hakuna nchi inaitwa marekan doh! Nikaachana naye

si ungetaja tu rais kama ulisahau kusema US na wewe,, ungewaambia naenda kwa trump
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport.
Mkuu umeendaa pesa Kia's gan ili tukupe connection Nina ajent anaweza kukusindikiza!
 
si ungetaja tu rais kama ulisahau kusema US na wewe,, ungewaambia naenda kwa trump
Wazo sasa lilikua hamna kichwan nikaishia kulaumu tu nani alileta hili neno marekani walah! Nikaangalia huku na huku hakuna anayeniangalia huyo nikaamua kufuata watu hapo hata cjui naelekea wap yaaan akili inafanya kazi visivyokawaida mamaae hata ningekutana na nyoka siku ile nisingemjua ooh! Nawaza tu sasa nafanyaje??
 
Back
Top Bottom