Nina pesa halafu sijui nitumie nini?

Nikiwahi kupitia kipindi kama cha kwako miaka kama saba iliyopita tena nikiwa na umri mdogo kabisa, ambalo naliona kosa ni kutokuwekeza zaidi kununua kiwanja tena kidogo kabisa ambacho hata sasa kimezungukwa na majumba nakosa hata futi kadhaa kuongeza ukubwa.

Nilifungua account kisha kutunza kiasi kilichobaki kwa siku sikupata shida nikajizuia niache kutoa, hapa kukicha matatizo yalizidi.

Hichi ndicho kipindi nilitembelea kila sehemu niliyotaka kwenda hata safari za kushitukiza yaani naamka asubuhi naelekea kazini jioni sirudi, maana kuhusu nguo na mengine nilikuwa na uhakika wa kuyapata huko niendapo...kazi yangu haikuwa na uhitaji wa kuwepo muda wote maana majukumu mengi tuliwasiliana kwa simu na muda mwingine groups za whatsapp.

Zilivyokata sikumbuki, zaidi nakumbuka kuwa kwasasa account hata kiasi cha chini kabisa kutoa hakipo.

Kwasasa nikipata pesa ikiwa si kiwanja bhasi nitanunua kinachoonekana, nimegundua pesa si kitu rafiki kwangu namimi siitaji urafiki nazo hapa namaanisha kukaa nazo ila kiasi kidogo cha kujikimu maisha ya kila siku.

Hadi hapo utajuwa hicho ulichonacho ni kitu cha aina gani, kukukimbia ni rahisi sana.
umeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma kuwa na pesa nayo tabu kweli
 
Nikiwahi kupitia kipindi kama cha kwako miaka kama saba iliyopita tena nikiwa na umri mdogo kabisa, ambalo naliona kosa ni kutokuwekeza zaidi kununua kiwanja tena kidogo kabisa ambacho hata sasa kimezungukwa na majumba nakosa hata futi kadhaa kuongeza ukubwa.

Nilifungua account kisha kutunza kiasi kilichobaki kwa siku sikupata shida nikajizuia niache kutoa, hapa kukicha matatizo yalizidi.

Hichi ndicho kipindi nilitembelea kila sehemu niliyotaka kwenda hata safari za kushitukiza yaani naamka asubuhi naelekea kazini jioni sirudi, maana kuhusu nguo na mengine nilikuwa na uhakika wa kuyapata huko niendapo...kazi yangu haikuwa na uhitaji wa kuwepo muda wote maana majukumu mengi tuliwasiliana kwa simu na muda mwingine groups za whatsapp.

Zilivyokata sikumbuki, zaidi nakumbuka kuwa kwasasa account hata kiasi cha chini kabisa kutoa hakipo.

Kwasasa nikipata pesa ikiwa si kiwanja bhasi nitanunua kinachoonekana, nimegundua pesa si kitu rafiki kwangu namimi siitaji urafiki nazo hapa namaanisha kukaa nazo ila kiasi kidogo cha kujikimu maisha ya kila siku.

Hadi hapo utajuwa hicho ulichonacho ni kitu cha aina gani, kukukimbia ni rahisi sana.
Tatizo mimi siko tanzania halafu bado naishi na wazazi wangu hiyo ndio tatizo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom