Nina ofisi- natafuta mtu wa kutumia naye pamoja

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Wana jamvi habari za majukumu,
Nina ofisi ipo sinza mugabe, ina vyumba viwili, na jengo zima lina ulinzi wa security guards. Ofsi nalipia 300,000 na ulinzi nachangia 180,000 Jumla ni 480,000. Hata hivyo, natafuta mtu ambaye tunaweza kuwa pamoja katika ofisi hiyo, tukalipa nunu kwa nusu gharama hizo. mimi sihitaji kuwa ofisini muda wote, kwa hiyo, naona badala ya kuwa na ofisi kubwa, vizuri nika share na mtu. fisi ipo maeneo ya SINZA MUGABE karibu na city style hotel.

Wenye uhitaji huo karibu sana. Ila kwa sasa waweza piga simu 0653 234010, lakini sitakuwa hewani kwa namba hiyo kuanzia tarehe 8 june mpaka 20 june nitakuwa nje ya nchi, baaa ya tar 20 june nitakuwa hewani tena. Hata hivyo, unaweza kuni PM tutawasiliana hata nikiwa nje ya nchi.

Nitahitaji mwenye kuwa tayari, walau atoe kodi ya miezi kumi, 240,000 x 10 sawasawa na 2,400,000

Kila la kheri.
 
Wewe unafanya kazi zipi hasa kwa sasa ili nione kama naweza kuja kushea hiyo ofisi na wewe
 
Wana jamvi habari za majukumu,
Nina ofisi ipo sinza mugabe, ina vyumba viwili, na jengo zima lina ulinzi wa security guards. Ofsi nalipia 300,000 na ulinzi nachangia 180,000 Jumla ni 480,000. Hata hivyo, natafuta mtu ambaye tunaweza kuwa pamoja katika ofisi hiyo, tukalipa nunu kwa nusu gharama hizo. mimi sihitaji kuwa ofisini muda wote, kwa hiyo, naona badala ya kuwa na ofisi kubwa, vizuri nika share na mtu. fisi ipo maeneo ya SINZA MUGABE karibu na city style hotel.

Wenye uhitaji huo karibu sana. Ila kwa sasa waweza piga simu 0653 234010, lakini sitakuwa hewani kwa namba hiyo kuanzia tarehe 8 june mpaka 20 june nitakuwa nje ya nchi, baaa ya tar 20 june nitakuwa hewani tena. Hata hivyo, unaweza kuni PM tutawasiliana hata nikiwa nje ya nchi.

Nitahitaji mwenye kuwa tayari, walau atoe kodi ya miezi kumi, 240,000 x 10 sawasawa na 2,400,000

Kila la kheri.

Nikitoa ya miezi kumi je ww unatoa ya miezi mingapi!??
 
Back
Top Bottom