Nina Nyumba ya kupangisha maeneo ya survey

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Habari. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nyumba ipo maeneo ya survey dakika mbili kwa mguu tokea mlimani city. Sifa za nyumba ni; nyumba ndogo yenye sebule na chumba kimoja choo chake pamoja na jiko linalojitegemea. Pia ina kibaraza chenye tiles. Maji yapo masaa 24. Bei ni 150,000/- kwa mwezi na nahitaji kodi ya mwaka mzima. Hakuna dalali hapa. Nitafute mie kwa 0713401812.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom