Nina ndoto za kuwa Kiongozi

Seleman Shimbi

New Member
Jan 31, 2018
2
3
Nina Ndoto ya kuwa () Nilizaliwa Miaka ya 1990s katika Mkoa wa Mwanza ,Wilaya ya Missugwi ,kata ya Koromije na kijiji cha Koromije katika Zahanati ya Koromije.

- Safari yangu ya Elimu Ilianza Mnamo Mwaka 2005 Mpaka 2011 ,Nikahitimu Shule ya elimu ya Msingi ,Nilifanikiwa kujiunga na Elimu ya Sekondari Mnamo mwaka 2012 Mpaka 2015 katika Shule ya MBOPO sekondari iliyopo Dar es esalam ,Wilaya ya KINONDONI ,kata ya Mabwepande.

- Nifanikiwa kujiunga na Kidato cha Tano Na sita Mwaka 2016 Mpaka na 2018 katika Shule ya PATRICK MISSION .

historia katika Siasa
- Tangu Nikiwa Shule ya Msingi Nilikuwa Napenda sana kuhudhuria katika Mikutano ya kisiasa kwa sababu Nilipenda kuona Watu wa Tofauti ,Kufikia Mwaka 2015 mwezi wa Tatu ,Nilijiunga na Chama cha kisiasa cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ,Nilifanikiwa kuwa Mpaka katibuwa Baraza la Bvicha kata ya wazo Mpaka Mwaka 2017.

Historia ya Uongozi ,Mwaka 2012 Katika serikari ya uongozi wa shule Nilikuwa Mtunza Muda na Ilipofika Mwaka 2013 Niligombea nafasi ya kuwa kaka Mkuu katika Serikari hiyo ,Matokeo yake Nikawa Kiongozi wa Taaluma .

- safari Haikuishia hapo Next year Niligombea Nafasi ya kuwa Kaka wa shule ,Hatimayeee Nikawa General Secretary katika Serikari ambapo Nilikuwa Mtendaji Mkuu wa Serikari ya wanafunzi ,pia Nilikuwa na Ushawishi Mkubwa sana.

Kijamii ,Niwahi kuwa Mwenyekiti wa vijana katika Kanisa la Shekhinah Presbytan Church in Tanzania ,Mwka 2017.

Huwa Nawashukuru wote kwa kunishika Mkono .

#Bado Nina ndoto za kuwa Kiongozi Watu #MbungeMtarajiwa

FB_IMG_16328974647859059.jpg
 
Oa mkuu ufanye maisha mengine.. Uongoz huo ukiutaka njoo lumumba vijana tuzungumze
 
Nina Ndoto ya kuwa ...() Nilizaliwa Miaka ya 1990s katika Mkoa wa Mwanza ,Wilaya ya Missugwi ,kata ya Koromije na kijiji cha Koromije katika Zahanati ya Koromije.

- Safari yangu ya Elimu Ilianza Mnamo Mwaka 2005 Mpaka 2011 ,Nikahitimu Shule ya elimu ya Msingi ,Nilifanikiwa kujiunga na Elimu ya Sekondari Mnamo mwaka 2012 Mpaka 2015 katika Shule ya MBOPO sekondari iliyopo Dar es esalam ,Wilaya ya KINONDONI ,kata ya Mabwepande.

- Nifanikiwa kujiunga na Kidato cha Tano Na sita Mwaka 2016 Mpaka na 2018 katika Shule ya PATRICK MISSION .

historia katika Siasa
- Tangu Nikiwa Shule ya Msingi Nilikuwa Napenda sana kuhudhuria katika Mikutano ya kisiasa kwa sababu Nilipenda kuona Watu wa Tofauti ,Kufikia Mwaka 2015 mwezi wa Tatu ,Nilijiunga na Chama cha kisiasa cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ,Nilifanikiwa kuwa Mpaka katibuwa Baraza la Bvicha kata ya wazo Mpaka Mwaka 2017.

Historia ya Uongozi ,Mwaka 2012 Katika serikari ya uongozi wa shule Nilikuwa Mtunza Muda na Ilipofika Mwaka 2013 Niligombea nafasi ya kuwa kaka Mkuu katika Serikari hiyo ,Matokeo yake Nikawa Kiongozi wa Taaluma .

- safari Haikuishia hapo Next year Niligombea Nafasi ya kuwa Kaka wa shule ,Hatimayeee Nikawa General Secretary katika Serikari ambapo Nilikuwa Mtendaji Mkuu wa Serikari ya wanafunzi ,pia Nilikuwa na Ushawishi Mkubwa sana.

Kijamii ,Niwahi kuwa Mwenyekiti wa vijana katika Kanisa la Shekhinah Presbytan Church in Tanzania ,Mwka 2017.

Huwa Nawashukuru wote kwa kunishika Mkono .

#Bado Nina ndoto za kuwa Kiongozi Watu #MbungeMtarajiwa

View attachment 1957630
Hapo kolomije hapo mkuu...nina mashaka napo MKUU
 
Mkuu ukifanikisha ubunge, naomba unicheki niwe suka wako... Nilichape fimbo li viiete

Nakuombea mkuu.
 
Back
Top Bottom