Nina muonekano mzuri lakini mahusiano yangu hayadumu. Nini tatizo?

Hili ni tangazo la biashara, all the same kuna age wanawake wanaangalia sura, ikivuka hiyo age wanawake wote wanaanza kuangalia wallet na bank account, mambo ya sura ni ya muda mfupi sana anza kutunisha wallet na bank account yako, usipofanya hivyo utashindwa kukaa na mwanamke ata kwa sekunde moja. Kunakokuja ni kugumu zaidi bwana mdogo.
Nafikiri amekuelewa vyema, wakati hujao siyo wa masihara kabisa
 
Hili ni tangazo la biashara, all the same kuna age wanawake wanaangalia sura, ikivuka hiyo age wanawake wote wanaanza kuangalia wallet na bank account, mambo ya sura ni ya muda mfupi sana anza kutunisha wallet na bank account yako, usipofanya hivyo utashindwa kukaa na mwanamke ata kwa sekunde moja. Kunakokuja ni kugumu zaidi bwana mdogo.
I beg to differ Sidhani kama kuna umri mwanaume anaanza kutovutiwa na wanawake wazuri I think the same applies to women. Kinachobadilika ni uwepo hao watu mf : hao wanakuwa described kama handsome boi or whatever unakuta wapo 2 katika watu 500 au hata elfu. Nimechukulia mfano wa kwenye shule/chuo sasa watu mamia wote watawezAje kuwa na hao watu wawili.
Hivyo mwisho wa siku wanawake pamoja na maringo yote na mbwembwe zote wanakuja ishia kwa sisi wahenga/wastaafu etc.
 
Ni huyu
FaceApp_1563477958094.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom