mbona tumeshafungua, futari kwa sasa siyo deal sana subiri msimu!Salaam. Nina muhogo uko shambani tayari kwa kuvunwa, eneo ni kijiji cha yombo unapita msanga na hufiki Chole. Barabara ya Kisarawe.Ningependa kuuza kilo
Hao wachina wananunuajeKuuza kwa kilo labda uwauzie wachina