Nina rafiki yangu mwaka jana ameoa na tayari wana mtoto mmoja na mkewe sasa hivi karibuni mwanaume alikuta sms kwenye simu ya mkewe kwamba mtoto wako anaumwa tuma hela na kweli pesa ikatumwa kama elfu hamsini.
Baada ya jamaa kumuuliza mkewe akakataa na kusema siyo kweli simu alimwachia shoga yake jamaa kumbana zaidi ikiwemo kutaka kumfukuza ndo mke kakubali ana mtoto ana miaka mitatu na nusu na aliogopa na kwa kumwambia mmewe kwa kuhofia ndoa yake.
Mwanamke amerudishwa kwao mme hataki ndoa tena
Wanawake kuweni makini kuwa na mtoto sio dhambi na mtoto hafichwi mbona mwanaume kama anakupenda hata kama una mtoto atakuoa.