Nisaidieni jamani kulea mtoto wa sikoseli,nimpe diet gani? Ana umri wa miez 6 tu
Keanu doctor Ndodi umewasiliana nae/umemjulisha.
Jitahidi kumfundisha upendo mapema maana asije kuwa kama MwanaFA ambaye naye ana hiyo sickle cell.Nisaidieni jamani kulea mtoto wa sikoseli,nimpe diet gani? Ana umri wa miez 6 tu
Jitahidi kumfundisha upendo mapema maana asije kuwa kama MwanaFA ambaye naye ana hiyo sickle cell.
Kwa kuongezea hasa vyakula/vinywaji ambavyo vitaongeza red blood cells, kwa sababu ni mdogo jitahidi kumpa juice ya rozela, mchuzi wa maini kama atapenda, kuna matunda yanaongeza damu siyakumbuki jina lakini yanapatikana kwenye masoko ya wahindi, kama uko dar es salaam lile soko la kisutu utayakuta unaweza kuuliza matunda damu mtengenezee juice yake, unaweza kuweka sukari kwa mbali au asali.my dear wala usipanic, jitahd sana kumpa vyakula viongezavyo damu hasa maziwa na mboga za majani.hakikisha kwamba hawi subjected kwa magonjwa hasa ya kuharisha na kutapika yanayonyong'onyeza mwili.
anza kumlikizia vyakula vijengavyo mwili, hasa vya kulinda mwili na kujenga mwili. mengine nicheki pm nitakuambia
pole sana mkubwa nakushaur mpeleke kwenye maombi.
atapona..
Kwa kuongezea hasa vyakula/vinywaji ambavyo vitaongeza red blood cells, kwa sababu ni mdogo jitahidi kumpa juice ya rozela, mchuzi wa maini kama atapenda, kuna matunda yanaongeza damu siyakumbuki jina lakini yanapatikana kwenye masoko ya wahindi, kama uko dar es salaam lile soko la kisutu utayakuta unaweza kuuliza matunda damu mtengenezee juice yake, unaweza kuweka sukari kwa mbali au asali.
wapi ndg wanaombewa,nataman sana mwanangu awe normal.

Sickle cell anaemia ni mojawapo ya matatizo yanayowapata wagonjwa wenye SCD...kwa hiyo siyo busara kuweka mkazo kwenye suala moja tu badala ya kumwangalia mgonjwa katika ujumla wake..
Ndiyo maana nashauri kwamba ni vizuri wazazi wakajielimisha vizuri kuhusu ugonjwa wenyewe na kitu gani cha kufanya inapotokea mgonjwa akapata pain au haemolytic crisis. Ni muhimu sana kupata ushauri nasaha!
Habari za SCD ziko kibao mtandaoni...wahusika wachukue muda wao kujisomea..
Eg. cheki hapa..Pain Medicine & Palliative Care: Pain Medicine - Sickle Cell Pain
Babu DC!!
Babuuuu, ndo mana nakukubali sana
Jitahidi kumfundisha upendo mapema maana asije kuwa kama MwanaFA ambaye naye ana hiyo sickle cell.
Yule anasumbuliwa na mawili, la kwanza ni njiti na pili ni sickle cell.Mwana FA kwani nae anasumbuliwa na huu
ugonjwa Mkuu,ila nadhani yuko vema tu.