Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

Nisaidieni jamani kulea mtoto wa sikoseli,nimpe diet gani? Ana umri wa miez 6 tu

my dear wala usipanic, jitahd sana kumpa vyakula viongezavyo damu hasa maziwa na mboga za majani.hakikisha kwamba hawi subjected kwa magonjwa hasa ya kuharisha na kutapika yanayonyong'onyeza mwili.

anza kumlikizia vyakula vijengavyo mwili, hasa vya kulinda mwili na kujenga mwili. mengine nicheki pm nitakuambia
 
Kwa kuongezea hasa vyakula/vinywaji ambavyo vitaongeza red blood cells, kwa sababu ni mdogo jitahidi kumpa juice ya rozela, mchuzi wa maini kama atapenda, kuna matunda yanaongeza damu siyakumbuki jina lakini yanapatikana kwenye masoko ya wahindi, kama uko dar es salaam lile soko la kisutu utayakuta unaweza kuuliza matunda damu mtengenezee juice yake, unaweza kuweka sukari kwa mbali au asali.
 
asante sana mkuu,mungu akubariki sana!
 
wapi ndg wanaombewa,nataman sana mwanangu awe normal.

Pole sana ndugu yangu,

Ila pia naomba kukupa angalizo...sickle cell disease ni ugonjwa wa kuridhi na hauna tiba wala kinga kwa sasa. Kinachotolewa na wataalamu ni tiba ya kupunguza maumivu na ushauli wa jinsi ya kuishi na ugonjwa huo. Kama utajipatia elimu zaidi kuhusu SCD na kuikubali hali ya mwanao basi hiyo ni hatua muhimu katika tiba.

Kama unafikiria kuombewa basi naomba nikueleze kuwa haitakusaidia lolote...

Babu DC!!
 
Kwa kuongezea hasa vyakula/vinywaji ambavyo vitaongeza red blood cells, kwa sababu ni mdogo jitahidi kumpa juice ya rozela, mchuzi wa maini kama atapenda, kuna matunda yanaongeza damu siyakumbuki jina lakini yanapatikana kwenye masoko ya wahindi, kama uko dar es salaam lile soko la kisutu utayakuta unaweza kuuliza matunda damu mtengenezee juice yake, unaweza kuweka sukari kwa mbali au asali.

Sickle cell anaemia ni mojawapo ya matatizo yanayowapata wagonjwa wenye SCD...kwa hiyo siyo busara kuweka mkazo kwenye suala moja tu badala ya kumwangalia mgonjwa katika ujumla wake..

Ndiyo maana nashauri kwamba ni vizuri wazazi wakajielimisha vizuri kuhusu ugonjwa wenyewe na kitu gani cha kufanya inapotokea mgonjwa akapata pain au haemolytic crisis. Ni muhimu sana kupata ushauri nasaha!

Habari za SCD ziko kibao mtandaoni...wahusika wachukue muda wao kujisomea..

Eg. cheki hapa..Pain Medicine & Palliative Care: Pain Medicine - Sickle Cell Pain

yanaitwa beet roots
 
Babuuuu, ndo mana nakukubali sana
 
Asanteni sana ndg zangu,nlsoma mtandao flan nkaona hyo beet root nkashndwa kuelewa ni nini.
 
Back
Top Bottom