Nina mtaji wa milioni mbili naweza kufanya biashara gani?

Tuagize

JF-Expert Member
Dec 5, 2021
238
544
Habarini wakubwa

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Mimi ni kijana wana miaka 23...nina mtaji wa milion 2
Wakubwa naomba mnishauri naweza kufanya biashara ya aina gan ?

Ahsante
 
Unaujuzi gani ...

Kubet

Kutrade forex

Crypto currency

Kuuza duka

Kunyoa saloon

Kuuza nguo

....

Hayo yote unaweza kufanya kama una ujuzi ...
 
Habarini wakubwa

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Mimi ni kijana wana miaka 23...nina mtaji wa milion 2
Wakubwa naomba mnishauri naweza kufanya biashara ya aina gan ?

Ahsante
FANYA UTAFITI KWANZA WA BIASHARA YAKO

UANGALIE CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WATU WA KARIBU NA ENEO LAKO, HIZO CHANGAMOTO ZIGEUZE KUWA FURSA

TAFUTA WASHAURI WAZURI WA KIBIASHARA (IKIWEMO HUMU) ILI UWEKEZE HELA YAKO SEHEMU SAHIHI

BIASHARA ZIPO NYINGI.......

CHAKULA/KILIMO/UFUGAJI
VINYWAJI
NGUO/MAVAZI/VIATU
VIPODOZI/UREMBO
SPEA ZA MAGARI/PIKIPIKI
VIFAA VYA SIMU
VYOMBO VYA NYUMBANI

NA KADHALIKA WA KADHALIKA.....
 
Habarini wakubwa

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Mimi ni kijana wana miaka 23...nina mtaji wa milion 2
Wakubwa naomba mnishauri naweza kufanya biashara ya aina gan ?

Ahsante

car wash nunua presha washer tank la kuhifadhia maji au wengine wanajenga. visima ………
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom