Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

Nimejaribu kufuatilia naambiwa kilemba kuachia frem huanzia hiyo hela 35mil
Unaona sasa hapo bado dalali aliyekupeleka anataka umtoe ..bado unakuta hujawa mzoefu wakuagiza mzigo unaotoka mapema ...yan k.koo mzunguko ni mkubwa ila ukiingia kimawenge utapoteza Pesa yote ..

Note: Huu mfumo wa kilemba unawakatisha tamaa wafanya biashara wapya
 
Kilemba ndio nini mkuu?
Ni fremu iliyo tupu. Mfano mimi ndiye niliyekua nimeingia mkataba na mwenye nyumba na nataka kuachana na hiyo bishara sasa nataka niuze fremu ikiwa tupu. Yaan mzigo wangu na kila kitu changu nachukua. Nakuachia frem tupu. So kuhusu bei yake tunakubaliana mimi na wewe. Bado ya udalali. Na eneo linapokua potential zaidi ndo gharama inazidi kuwa juu
 
Nimekuelewa boss. Hivi kwa mfano mwenye nyumba akaamua kukwambia anataka fremu yake baada ya kodi yako kuisha, hicho kilemba atakupa mwenye nyumba au inakuaje???
 
Kweli kuingia kkoo si mchezo
 
Nimekuelewa boss. Hivi kwa mfano mwenye nyumba akaamua kukwambia anataka fremu yake baada ya kodi yako kuisha, hicho kilemba atakupa mwenye nyumba au inakuaje???
Si rahisi kihivyo. Unless otherwise amepandisha bei baada ya mkataba kuisha ama umeshindwa lipa kodi yako. Mtu hawezi kukutoa bila notice
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom