Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Niaje wanajamvini?

Nina mtaji wa mil.2 ninahitaji wazo la biashara itakayoingiza atleast 20 kwa siku.

Yeyote mwenye uzoefu na makadirio ya mtaji, shughuli husika na faida yake anijuze
Mimi Nina wazo, but mtaji sina, tunaweza ingia makubariano na hyo pesa yako ukawekeza kwenye wazo langu, na nikawa nakurejeshea pesa yako kwa riba ya asilimia 100%, kama uko tayali naomba tuwasiliane 0622939257, 0717447020, sio ww tu hata kama kuna MTU anahitaji kuingia ubia na mm basi namkaribisha tuyajenge, Niko DSM temeke mtoni kwa azizi Ali
Nb;ukinipa hyo 2M nitakurejeshea 4M kwa muda tutakaokubaliana kufanya hayo marejesho.Asante
 
Nenda FINCA ukakope hela, riba haifiki 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Nina wazo, but mtaji sina, tunaweza ingia makubariano na hyo pesa yako ukawekeza kwenye wazo langu, na nikawa nakurejeshea pesa yako kwa riba ya asilimia 100%, kama uko tayali naomba tuwasiliane 0622939257, 0717447020, sio ww tu hata kama kuna MTU anahitaji kuingia ubia na mm basi namkaribisha tuyajenge, Niko DSM temeke mtoni kwa azizi Ali
Nb;ukinipa hyo 2M nitakurejeshea 4M kwa muda tutakaokubaliana kufanya hayo marejesho.Asante
Wew tafuta zako unakuwaje na wazo bila pesa badili hilo wazo kuwa pesa.
 
Habari za jioni wanajukwaa,

Ninafikiria Biashara ya kufanya kwa Mtaji nilionao wa Million 2.5 mpaka million 3. Hivyo naomba ushauri wenu na mawazo yenu, kulingana na Hali ya maisha ya Sasa.

Naomba kuwasilisha.
 
Tafuta phone accesories huta jutia hyo biashara na uo n mtaj mkubwa sana
 
Nimemaliza chuo Mambo ya business administration... nilikuwa naomba wazo la biasha,,,, Nina million tatu ...Niko dar mwenye wazo la kunishauri nataka nikiajili
 
Back
Top Bottom