Wax wings
Member
- Sep 26, 2019
- 14
- 9
Habarini wanajamvi wenzangu,
Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia ushauri juu ya baishara halali yenye manufaa ya kimaemdeleo ya maisha.
Nipo Dar mtaji wangu ni million mbili pia sina uwenyeji sana na Dar. Me huku wa kuja nimebangaiza nimepata hiyo, nafkilia nini cha kufanya nakosa tafadhari ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.