Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo

Oct 1, 2019
6
3
Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo kwa hapa Dar es Salaam. Je, nifanye nini kwanza cha msingi?

1618302937303.png

Mchango wa mdau
Kila la kheri.

Anza na nguo za kike..tembelea vyuoni na Kama ofisi iwe maeneo ya changanyikeni Sana..Tumia mtandao wa insta kupromote biashara yako.

Mzigo waweza chukulia boma kwa kudamka saa kumi kuchukua moja Mona au waweza kwenda mnazi mmoja Kuna sehemu wanatoa balo za uhakika..Kama upo Dar

Bei isiwabane Sana wateja wako..tembelea maofisini napo wateja wa kike ni wengi.

Ukitaka kuwavutia zaidi fua nguo inyooshe..iwe classic zaidi..hapo hata wakishua unaweza wapiga pesa ndefu.
 
Mzigo waweza chukulia boma kwa kudamka saa kumi kuchukua moja Mona au waweza kwenda mnazi mmoja Kuna sehemu wanatoa balo za uhakika..Kama upo dar

Bei isiwabane Sana wateja wako..tembelea maofisini napo wateja wa kike ni wengi.

Ukitaka kuwavutia zaidi fua nguo inyooshe..iwe classic zaidi..hapo hata wakishua unaweza wapiga pesa ndefu.
Asante sana, Mkuu. Nitafikiria hilo kwa kina zaidi kama ulivyo changanua.
 
Back
Top Bottom