borncool
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 226
- 49
Mkuu vipi ulifanikiwa
Baada ya kutulia na kufikiri sana, nikapata wazo la kufungua biashara ya vitu vya electronics sijui kama nipo sahihi. Vitu hivyo ni kama:
Mimi nipo mkoani nimepata uzoefu wa kuagiza hii mizigo kutoka Ali Express na mizigo yote imefika salama.
- Flash drive
- Memory card
- USB wire
- Charger
- Card reader
- Power bank
- Min speaker
- Bluetooth earphone
- Hair cutting machine
- External and Internal hard disk
- Protector za simu pamoja na cover
- Battery za simu na vioo
- Gaming pad, na vitu kama hivyo
Sasa mpangilio upo hivi, mfano flash ya Toshiba GB 32 Ali Express unapata kwa 13,900 yenyewe 11,000 na usafiri (shipping) 2,900 mimi nitauza kwa elfu 25, maelewano pia yapo.
San Disk GB 16 Express inauzwa elfu 6 hadi 7 mimi nitaanza na elfu 15. Maelewano ya kushuka yapo kiasi.