Wadau I hope mko poa kabisa.
Siku chache zijazo nitasafiri kikazi kwenda Kampala Uganda na nitakuwa huko kwa muda wa wiki 2!
Ni mahali ambapo sijawahi kufika tangu kuumbwa kwa dunia. Naomba mwenye uzoefu na mji wa Kampala anipe angalau ABCs za maisha huko ili angalau niwe na idea fulani fulani nifikapo huko.