Nina mpango wa kuyaleta haya mabasi yafanye kazi kigamboni-kivukoni

I wish na sisi ifike kipindi tuingie kwenye ushindani wa kiteknolojia, siyo kubakia kuwa soko milele..
 
Chonde chonde usiyalete Mkuu, yatakuwa yanajaza kupita kiasi na matokeo yake kila mtu anajua. Wacha tuyaone kwenye kideo tu

Hapo umenena maana mwenye atataka arejeshe mtaji wake kwa miezi sita, dereva atataka asilimia yake na konda naye abaki na cho chote mwisho wa siku.
 
dah, nina hamu nione kinachoendelea ktk hizo video ila ndio natumia mobile na huku kwetu tanesco walishachukua umeme wao mapema tangu jana usiku, maisha haya!!!
 
Ila kuna binadamu wabunifu, kila kukicha wenzetu wanafikiria watoke na nini wakati sisi kila kukicha wanasiasa wanafikiria watudanganye nini,
Kwani wanasiasa wanakuzuia kutumia ubongo wako? Wacha visingizio vya kitoto. Bongo zimelala mnataka ajira za kufunga tai.
 
kaka ngoja tuvuane magamba mpaka 2050 tutakujulisha tumefikia wapi?maana kuna magamba mengine inabudi tusubiri yafe kwani kuyatoa ni ngumu kweli.
kuna moja tumelitoa igunga limerudi kwa kasi na menzake yamelipokea.
yaani ili uyalete hayo mabasi rais atataka 10pcnt pm nae hivyohivyo hata spea utashindwa kuyanunulia mwisho badala ya kutusaidia utatuua bure.
 
Nauliza Swali Wakuu wenzangu nikisha yaleta haya Mabasi je Mwanishauri kivipi kuhusu nauli ya Kivukoni To Kigamboni? nitoze kiasi gani? kwa hivi sasa nauli ya Mapantoni ni kiasi gani? Kutoka Kivukoni kwenda Kigamboni? nataka ushauri wenu.......
 
Nauli ya Kivukoni-kigamboni ni jiti (100). Hao mabasi hayafai kwa ilo eneo kwani kuna busy traffic ya meli, ngalawa, mitumbwi inayoingia na kutoka bandarini na inayokatisha kwenda kigamboni au kivukoni- so ukileta tegemea ajali za mara kwa mara. Pili kila 15-30 minutes kuna abiria zaidi ya 1000 wanatoka pande zote, ndio maana hata pantoni mbili zinazofanya kazi sasa hazitoshelezi (kila mmoja inachukua abiria zaidi ya 500).Ukisema utaleta mengi yatakua kero na sijui yatapishana vipi ukichukulia eneo lenyewe ni dogo kiumbali, ongezo na vyombo vingine vya baharini vinavyopita hapo itakua nin kashehe. Solution ya kigambani-kivukoni ni daraja na sio panton mpya au buses unazofikiria kuzileta.
 
Daraja litajengwa December mwaka huu. Pili bahari yetu ni maji chumvi na kuna mkondo mkali wa maji. Je umefanyia utafiti masuala haya?
 
Nauli ya Kivukoni-kigamboni ni jiti (100). Hao mabasi hayafai kwa ilo eneo kwani kuna busy traffic ya meli, ngalawa, mitumbwi inayoingia na kutoka bandarini na inayokatisha kwenda kigamboni au kivukoni- so ukileta tegemea ajali za mara kwa mara. Pili kila 15-30 minutes kuna abiria zaidi ya 1000 wanatoka pande zote, ndio maana hata pantoni mbili zinazofanya kazi sasa hazitoshelezi (kila mmoja inachukua abiria zaidi ya 500).Ukisema utaleta mengi yatakua kero na sijui yatapishana vipi ukichukulia eneo lenyewe ni dogo kiumbali, ongezo na vyombo vingine vya baharini vinavyopita hapo itakua nin kashehe. Solution ya kigambani-kivukoni ni daraja na sio panton mpya au buses unazofikiria kuzileta.

umeongea vema.
 
Back
Top Bottom