Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,108
manasemaje? niyalete hayo mabasi hapo Dares-salaam? Je Watu Watayapanda hayo mabasi? Serikali imeshindwa kutengeneza Daraja la Kigamboni -kivukoni.
Last edited by a moderator:
Oh my..., hii kkitu wamei-cutomise wapi?.....nawaza kuvuka nayo mto kilombero!
Chonde chonde usiyalete Mkuu, yatakuwa yanajaza kupita kiasi na matokeo yake kila mtu anajua. Wacha tuyaone kwenye kideo tu
Kwani wanasiasa wanakuzuia kutumia ubongo wako? Wacha visingizio vya kitoto. Bongo zimelala mnataka ajira za kufunga tai.Ila kuna binadamu wabunifu, kila kukicha wenzetu wanafikiria watoke na nini wakati sisi kila kukicha wanasiasa wanafikiria watudanganye nini,
Nauliza Swali Wakuu wenzangu nikisha yaleta haya Mabasi je Mwanishauri kivipi kuhusu nauli ya Kivukoni To Kigamboni? nitoze kiasi gani? kwa hivi sasa nauli ya Mapantoni ni kiasi gani? Kutoka Kivukoni kwenda Kigamboni? nataka ushauri wenu.......
Nauli ya Kivukoni-kigamboni ni jiti (100). Hao mabasi hayafai kwa ilo eneo kwani kuna busy traffic ya meli, ngalawa, mitumbwi inayoingia na kutoka bandarini na inayokatisha kwenda kigamboni au kivukoni- so ukileta tegemea ajali za mara kwa mara. Pili kila 15-30 minutes kuna abiria zaidi ya 1000 wanatoka pande zote, ndio maana hata pantoni mbili zinazofanya kazi sasa hazitoshelezi (kila mmoja inachukua abiria zaidi ya 500).Ukisema utaleta mengi yatakua kero na sijui yatapishana vipi ukichukulia eneo lenyewe ni dogo kiumbali, ongezo na vyombo vingine vya baharini vinavyopita hapo itakua nin kashehe. Solution ya kigambani-kivukoni ni daraja na sio panton mpya au buses unazofikiria kuzileta.