Nina mpango wa kuyaleta haya mabasi yafanye kazi kigamboni-kivukoni

Nauli ya Kivukoni-kigamboni ni jiti (100). Hao mabasi hayafai kwa ilo eneo kwani kuna busy traffic ya meli, ngalawa, mitumbwi inayoingia na kutoka bandarini na inayokatisha kwenda kigamboni au kivukoni- so ukileta tegemea ajali za mara kwa mara. Pili kila 15-30 minutes kuna abiria zaidi ya 1000 wanatoka pande zote, ndio maana hata pantoni mbili zinazofanya kazi sasa hazitoshelezi (kila mmoja inachukua abiria zaidi ya 500).Ukisema utaleta mengi yatakua kero na sijui yatapishana vipi ukichukulia eneo lenyewe ni dogo kiumbali, ongezo na vyombo vingine vya baharini vinavyopita hapo itakua nin kashehe. Solution ya kigambani-kivukoni ni daraja na sio panton mpya au buses unazofikiria kuzileta.
kwa gharama hiyo ya nauli ya shilingi 100 siwezi kuyaleta huko bora yakae huku huku Ulaya unajuwa naya nunua kwa bei ghali kwa hiyo sitoweza kurudisha pesa yangu bora Serikali itengeneze Madaraja tu
 
Daraja litajengwa December mwaka huu. Pili bahari yetu ni maji chumvi na kuna mkondo mkali wa maji. Je umefanyia utafiti masuala haya?
Kwa bei ya nauli shiling 100 sitoweza kuyaleta kwangu mimi itakuwa ni hasara tupu kaeni na shida zenu .
 
Back
Top Bottom