Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

Lololololololol umekosea, jaribu tena rafiki. Majimbo ya Carolina ni joto kali sana ziko pwani ya mashariki ya marekani. Jimbo la Dakota iko Kaskazini.
Si ndio kuna North Carolina and South Carolina then kuna North Dakota and South Dakota, sasa wewe uko State gani?
 
Si ndio kuna North Carolina and South Carolina then kuna North Dakota and South Dakota, sasa wewe uko State gani?
Nilisema naishi jimbo langu ni baridi kali :). Naishi jimbo la Michigan ni karibu na nchi la Canada pia hali ya hewa ni baridi kali kila miaka.
 
Back
Top Bottom