Wana Jf nna mke mzuri sana,elimu ya kidato cha nne,ila hana akili hata kidogo jamani...Ana matatizo yafuatayo.
1.HANIAMINI,pamoja na kuwahi kula kiapo kwa SHEHE kuwa sina mchepuko,sasa hiv anataka nikaape tena.
2.HAJIAMINI ingawa mzuri,inapelekea kuwa na wivu uliopitiliza hadi kero.
3.ANASIKILIZA MAJUNGU,yan kutokana na ubora wa maisha yetu,anasikiliza watu ambao wananizushia,natuma mapicha kweye wasap kila niendako lakin wapi.
4.ANAAMIN ANACHOHISI,yan akihisi kitu basi anapitisha kuwa kweli,mwisho inakua KERO.
NATAKA NIKAAPE TENA KWA SHEHE ILI AAMINI,HALAFU NIMPE TALAKA,NIMECHOKA KERO,NTAKUA SAHIHI?