Nina mke mzuri sana, ila hana akili kabisa!

mashoba

Senior Member
May 8, 2014
145
42
Wana Jf nna mke mzuri sana,elimu ya kidato cha nne,ila hana akili hata kidogo jamani...Ana matatizo yafuatayo.
1.HANIAMINI,pamoja na kuwahi kula kiapo kwa SHEHE kuwa sina mchepuko,sasa hiv anataka nikaape tena.
2.HAJIAMINI ingawa mzuri,inapelekea kuwa na wivu uliopitiliza hadi kero.
3.ANASIKILIZA MAJUNGU,yan kutokana na ubora wa maisha yetu,anasikiliza watu ambao wananizushia,natuma mapicha kweye wasap kila niendako lakin wapi.
4.ANAAMIN ANACHOHISI,yan akihisi kitu basi anapitisha kuwa kweli,mwisho inakua KERO.
NATAKA NIKAAPE TENA KWA SHEHE ILI AAMINI,HALAFU NIMPE TALAKA,NIMECHOKA KERO,NTAKUA SAHIHI?
 
Mmh pole najua how much hyo hali inakera alafu mkeo hajui kwamba ukiwa unamuhisi sana mwenzio vitu ambavyo hafanyi inakuwa kama ndo unamtuma akafanye
 
Usimwache mpige mimba Tatu fasta ataacha wivu Wangu alikuwa hivyo ila alikuwa na akili zilizopitiliza.
 
Yaani hayo ndo yanakufanya uhitimishe kwamba mwenzio hana akili?

Wewe unazo hizo akili? Kama unazo, unazo ngapi?

Kama hakuamini, je, wewe mwenyewe umejiangalia na kujiridhisha ni kweli si wewe unayempa sababu za yeye kutokukuamini?

Au mwenzetu wewe uko timilifu na huna mapungufu yoyote yale?
 
Mfanye ...."a sex slave" na robot la kuporomosha toto kumi then akichoka oa another one ni sunna......,
 
Kila mtu anazo akili sema kuna tofauti ktk busara wa kuzitumia....inawezekana mkeo hakuamini kwasababu unampa sababu asikuamini au kuna vitu amepitia maishani mwake ambavyo vinamfanya asikuamini labda alisalitiwa au alitendwa sana...fanya uchunguzi kabla hujafanya maamuzzi yoyote! Mkeo ana umri gani?
 
Hahaaaaa wivu bhana ni mubhaya saaana kijana moja alifukuza muke yake!! Kwa Kiswahili cha kikenya!
 
Wana Jf nna mke mzuri sana,elimu ya kidato cha nne,ila hana akili hata kidogo jamani...Ana matatizo yafuatayo.
1.HANIAMINI,pamoja na kuwahi kula kiapo kwa SHEHE kuwa sina mchepuko,sasa hiv anataka nikaape tena.
2.HAJIAMINI ingawa mzuri,inapelekea kuwa na wivu uliopitiliza hadi kero.
3.ANASIKILIZA MAJUNGU,yan kutokana na ubora wa maisha yetu,anasikiliza watu ambao wananizushia,natuma mapicha kweye wasap kila niendako lakin wapi.
4.ANAAMIN ANACHOHISI,yan akihisi kitu basi anapitisha kuwa kweli,mwisho inakua KERO.
NATAKA NIKAAPE TENA KWA SHEHE ILI AAMINI,HALAFU NIMPE TALAKA,NIMECHOKA KERO,NTAKUA SAHIHI?

inamaana yeye anatumia nini kufikiria hadi kufikia hatua ya kutokukuamini? Au ulitaka useme wewe ndo hamnazo!
 
Weka picha yake nijiridhishe kuwa ni mzuri sana na pia hana akili ndio nianze kukushauri.

Wana Jf nna mke mzuri sana,elimu ya kidato cha nne,ila hana akili hata kidogo jamani...Ana matatizo yafuatayo.
1.HANIAMINI,pamoja na kuwahi kula kiapo kwa SHEHE kuwa sina mchepuko,sasa hiv anataka nikaape tena.
2.HAJIAMINI ingawa mzuri,inapelekea kuwa na wivu uliopitiliza hadi kero.
3.ANASIKILIZA MAJUNGU,yan kutokana na ubora wa maisha yetu,anasikiliza watu ambao wananizushia,natuma mapicha kweye wasap kila niendako lakin wapi.
4.ANAAMIN ANACHOHISI,yan akihisi kitu basi anapitisha kuwa kweli,mwisho inakua KERO.
NATAKA NIKAAPE TENA KWA SHEHE ILI AAMINI,HALAFU NIMPE TALAKA,NIMECHOKA KERO,NTAKUA SAHIHI?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom