Kutoa mimba siweziMtoto ingekuwa kashafikisha miezi 6 ungemuachisha kunyonya ili asidhulike.kama kumuachisha ni ngumu nenda hospital utoe mimba ili ulee huyo mtoto aliyehai akue.pole sana
Bila samahanHabar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
OK, thanx be blessedDuuuuuh
Anyway.
Accept the fact, talk to your partner and prepare for another baby coming.
Do all the necessaries. Eat healthy, exercise and nurse the baby who is already out while taking care of the one inside.
Most important talk to your partner and let him know that you need msaada wake zaidi now than ever.
It can happen play your part. God's blessings come in disguise sometimes. The bad thing is trying to run away from His blessings unknowingly
Kwa maana nyingine unamwambia asiendelee kumnyonyesha, right?Jitahidi kumtengenezea balanced diet, protein ni muhimu sana katika umri huo kwani ndio anajenga mwili na kinga ya mwili vyakula vya wanga na mboga mboga na matunda, ikiwezekana blend matunda mpe puree au smooth anywe.
Mzazi mwenzio wakati wa kula tunda, anachezea nyonyo zako?? Isije ikiwa anamchepuko wake huko kaushikashika K yake afu anakuja kukushika maziwa. Mtambemenda mtoto huyo.Nanyonyesha, na hadi hivi leo sijawahi kumpa mtoto chochote kile tofauti na maziwa yangu mwenyewe, tatizo saivi naona anaharisha
Ngoja nami nipate baraka zako... Kama unajua kimombo hebu soma hii...OK, thanx be blessed
Kwanini mkuu??Acha kumnyonyesha hyo mtoto utamdumazaa