Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam

hapo kwa red umenishangaza mkuu! mawazo yote yaliyomo humu kweli hujapata pa kuanzia? unless huja-search vizuri, kuna nondo kibao humu za biashara, sema watu tunakosa mkwanja tu
 
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam
anzisha kamari maeneo ya posta na kariakoo!
 
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam

Mimi ni mjasiriamali wa mazao ya kilimo. Huo mtaji ni mkubwa kwa biashara ambayo haihitaji gharama nyingi ya kuweka miundombinu wezeshi. Naomba niPM nikushauri.
 
Mazao ya kilimo yapi hasa?Na unanunua na kuuza wapi?faida yake imekaaje?
 
Kwanza hiyo milioni themanini umeipataje.?

Umepewa na ndugu.?
Umeuza nyumba ya ulisi.?
Umekwapua sehemu.?
Au mkopo benk.?
Au ilikua unadunduliza kidogokidogo.?
Mpaka saizi unafanya kazi gani.?
Umri wako je.?

Ukifafanua hapo watu watajua pa kuanzia kukushauri.!!
 
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam
Mkuu huo mtaji ni mkubwa sana,tengeneza rebo yako kisha anza kupaki sembe.Funga 5kgs,10kgs,20kgs,25kgs na 50kgs!

Tafuta site nzuri fungua duka kubwa kwa ajiri ya kusupply.pack na unga wa muhogo na dona,uza jumla na rejareja.
 
Back
Top Bottom