Nina Million moja(1) nahitaji biashara ambayo itapandisha mtaji wangu haraka

crusader_jr

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
913
1,000
Ngoja nimpe tips arudshe hasara na faida kdgo

Man utd win ..... 1.37
Totenham 12......1.36
Aston vila 2+.....1.24
Barca win and 2+....1.27
Milan vs inter 12.......1.3

Total odds 3.76

Stake 300,000

Possible wins 300,000
emoji808.png
3.76 =1,128,000

1128000-(500000(kipigo cha jana) + 300000)

1128000-800000

Faida 328000

Ukinipa 50k ya asante

Unabaki na 278000 faida cash!

Fanya ivoo mwenetuu
caselona ngapi uko
Ngoja nimpe tips arudshe hasara na faida kdgo

Man utd win ..... 1.37
Totenham 12......1.36
Aston vila 2+.....1.24
Barca win and 2+....1.27
Milan vs inter 12.......1.3

Total odds 3.76

Stake 300,000

Possible wins 300,000 3.76 =1,128,000

1128000-(500000(kipigo cha jana) + 300000)

1128000-800000

Faida 328000

Ukinipa 50k ya asante

Unabaki na 278000 faida cash!

Fanya ivoo mwenetuu
Baca kasepa na kijiji leo 🤣🤣🤣🤣🤣ng'ombe wa maskini.... Extrovert
 

HiDEmYiD

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,446
2,000
Mimi hata sijui haya manamba huwa yanamaanisha nini, sijawahi na sitarajii kuja kushiriki hii michezo
Sasa unachangiaje vitu usivyovijua ????
Hapo kazingua barca pekee yake even tho mkeka lost!

Sio mbya bado tuna lakimbili yetu ya akiba tuonane UEFA turudshe hasara zetu mkuu
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
32,620
2,000
caselona ngapi uko
Baca kasepa na kijiji leo 🤣🤣🤣🤣🤣ng'ombe wa maskini.... Extrovert
Ifikie mahali hizo stake badala ya kubetia zote mkeka mzima ugawe hela kwa kila timu maana zinazochanaga ni chache kuliko zinazo win.

Ukilenga timu zenye odd mbili kwenye mkeka wa gemu 10 zikachana 2 au 1 still unakuwa na faida kubwa zaidi. Kuliko ungecheza zote sehemu moja ikichanika inaua hela yote kwa pamoja.
 

crusader_jr

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
913
1,000
Ifikie mahali hizo stake badala ya kubetia zote mkeka mzima ugawe hela kwa kila timu maana zinazochanaga ni chache kuliko zinazo win.

Ukilenga timu zenye odd mbili kwenye mkeka wa gemu 10 zikachana 2 au 1 still unakuwa na faida kubwa zaidi. Kuliko ungecheza zote sehemu moja ikichanika inaua hela yote kwa pamoja.
Mkuu tatizo wasepa na vijiji ni wengi mnoo saizi wamebana kila sehemu yani saizi secure ama risk free market ni over/under on my opnion
 

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
3,290
2,000
Ngoja nimpe tips arudshe hasara na faida kdgo

Man utd win ..... 1.37
Totenham 12......1.36
Aston vila 2+.....1.24
Barca win and 2+....1.27
Milan vs inter 12.......1.3

Total odds 3.76

Stake 300,000

Possible wins 300,000 3.76 =1,128,000

1128000-(500000(kipigo cha jana) + 300000)

1128000-800000

Faida 328000

Ukinipa 50k ya asante

Unabaki na 278000 faida cash!

Fanya ivoo mwenetuu
Watu bhana!!!
 

DocJayGroup

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
785
1,000
Ke
Mamotivation writers JF wamezidi hii issue ya kuambiana sijui angalia eneo unaloishi kuna changamoto gani ni hadithi za motivational speakers. Kama una idea iseme sio kua vague... mueleze mtu kinaga ubaga ni biashara gani, huduma gani, au issue yoyote ile inayo endana na mtaji wa mhusika na mwisho wa siku kutokana na idea unayotoa mtu anaweza pata idea yake mwenyewe. Mfano naishi eneo X biashara ninayoifanya ni kununua na kuuza bidhaa Y kutoka eneo Z na wateja wangu ni hawa na hawa, changamoto ni hizi na hizi na utaziepuka kwa kufanya ABCD. Baada ya kutoa maelezo hayo mhusika ndio ataweza kuangalia kama wazo husika kutokana na mazingira aliyopo anaweza kufanya au kuna haja ya yeye kusogea kwenda sehemu anayoweza fanya hiyo biashara. Mpaka mtu kuja kwenye hili jukwaa akili ishastuck msaidie kama unaweza kumsaidia, mkuu CONTROLA ubarikiwe popote ulipo hua unaongea actual business ideas sio blah blah
Kwanza kabisa aondoe akilini kwamba kuna kufanikiwa haraka haraka. Hilo neno haraka haraka. Kupata faida ya 4m katika miezi michache. Akishajua hilo, atakuwa teari kupambana hata kama ni banda la chipsi nk. Mind is everything
 

SEASON 5

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
407
1,000
Kuwaza kuongeza faida au kukuza mtaji wako sio mbaya ni jambo zuri,shida ni pale unapoweka expectation kubwaaaa kuliko hata mtaji ulionao.

Leo una mil.1 unataka ndan ya miezi minne mitano uwe na mil.5 hiyo maana yake unataka faida ya 1m kila mwezi mkuu sio kirahisi kama unavyoandika 1M ni pesa refu sana kijasiriamali hasa kwa vimtaji hvyo vya 1M.

Najua una mawazo mazuri na unatamani ufike mbali,ninachokushauri n kwamba Biashara haina costant benefit hata siku 1 hata uwe unauza madawa ya kulevya,muhimu n ukubali kuongeza au kukuza mtaji wako kidogo kidgo wala usiwe na haraka.

Tofauti na hapo hako ka 1m unakadumbukiza kwenye maji muda si mrefu ukikurupukia mawazo utayopewa na kuaminishwa yatakupa outcome unayoitaka.
 

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
14,132
2,000
Hakuna biashara ambayo itapandisha mtaji wako kwa haraka mzee ..sahau iyo ..labda ubet au sijui ufanye nini ...halafu wakati wa kuanza biashara ni lazima ujue kuna pande mbili ..hasara na faida ..sasa wewe unaangalia faida kwanza hehehe utaki hasara siyo ..basi nikwambie ukweli kama hutaki harasa ili ujifunze basi hiyo M1 yako kanywee bia au tafuta dogodogo mmoja kula naye maisha iishe yote mzee ..huo ndo ushauri wangu...
Asante

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
14,132
2,000
Au mtafute Ontario aka dennis atakufundisha kutrade forex ndani ya week moja tu na utamlipa tsh 100,000/= ya mafunzo. Hiyo laki 9 iliyobaki itasimama kama mtaji wa kuanzia hivyo ni kama usd 300+ ndani ya mwezi tu unakuwa millionaire maana jamaa atakupa strategy ya hatari sana. Fanya hivyo mkuu uwe millionaire.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
4,277
2,000
Wakuu leo Nina mzuka wa kubeti nina 200k ya kubetia tuu, nahtaji single bet , nipeni odd zinazoeleweka
 

Chuku chuku

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
650
1,000
Au mtafute Ontario aka dennis atakufundisha kutrade forex ndani ya week moja tu na utamlipa tsh 100,000/= ya mafunzo. Hiyo laki 9 iliyobaki itasimama kama mtaji wa kuanzia hivyo ni kama usd 300+ ndani ya mwezi tu unakuwa millionaire maana jamaa atakupa strategy ya hatari sana. Fanya hivyo mkuu uwe millionaire.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ni ngumu sana kumaster forex ndani ya wiki moja kama hujui chochote sababu zaidi ya 60% ni psychology kitu ambacho huwezi kukipata ndani ya wiki!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom