Anonymous
Senior Member
- Feb 3, 2006
- 125
- 320
Hello wapendwa,
Nlikua nafanya kazi sehem flani sasa katika savings zangu nina 10m kwa bank account and the very unlucky thing mkataba umeisha like two months ago
Nimejarib kufikiria biashara mbali mbali hapa Dar naona zote ngumu sana hasa kwenye ku-take off na kuwa profitable in a short time ,kichwa kinauma sana kubuni shughuli/biashara ya kufanya na naogopa sana mzigo usije kata na nna familia inanitegemea ,
Kuna muda nlifikiria niende border ya Tunduma nitafute mishe ya kukimbiza chap chap(sijawahi kufika though)
Please ushauri wenu wakuu ila tu msiniambie habari za Network Market ,Forex et all
Please comment msaada wako wa mawazo ...kama huna msaada ukikaa kimya itakua poa zaid ukabak kuwa mtazamaji wadau wenye msaada waki comment inaweza kukusaidia pia,
Thanks in Advance good people!