Nina milioni tatu mkononi: Inatosha kuwa agent wa ving'amuzi, maxmalipo na luku?

May 12, 2016
27
11
Habari wana jamvi.

Naomba kuuliza Nina mpango Wa kuanzisha biashara ya kuwa agent Wa ving'amzi vya Azam,dstv n.k NA kuanzisha Kituo cha Max Malipo kwa Luku n.k

Mkononi Nina 3m Je hiyo inatosha? NA nifate hatua gani nifanikiwe?
 
inatosha hiyo coz ile mashine km laki 6 tu na wanataka uwe na salio minimum laki 3........but watataka uwe na TIN number na leseni ya biashara nadhani.......Mimi nataka niende nkauchukue mzigo sabasaba bei inaweza kua chini zaidi
 
Habari gani juu ya kipato inalipa lakini??
 
Hiyo inatosha kabisa, Kuanza
-Tafuta chumba au frem
-nenda kwenye ofisi ya manispaa uliyopo tafuta leseni ya biashara,
- nenda ofisi za selcom au Max malipo zilizo karibu naweukanunue kifaa kinachotumika kuuzia kuku na malipo mengine! NA KUKISAJIRI na kuweka salio utakalokuwa unaanzia kuuza. lluku na
Kwa kifaa cha selcom kinaanzia laki 7 au 8 hivi!
 
Mkuu hivi ni malipo mengine yapi unaweza kufanya kwa hyo machine mbali na Luku?
 
Habari wana jamvi.

Naomba kuuliza Nina mpango Wa kuanzisha biashara ya kuwa agent Wa ving'amzi vya Azam,dstv n.k NA kuanzisha Kituo cha Max Malipo kwa Luku n.k

Mkononi Nina 3m Je hiyo inatosha? NA nifate hatua gani nifanikiwe?
Nenda ambako kuna watu wa kuwafanyia hiyo biashara.
Hakikisha kuwa hiyo biashara inatatua matatizo yao
Have a good customer care,
be focused
be persistence
Kuwa royal kwa wateja wako etc.

UTAFANIKIWA
 
Back
Top Bottom