Nina milioni mbili nataka nimfungulie biashara mke wangu,je itatosha?

mili 2 kubwa sana, kwenye biashara ndugu, mimi ndio najichanga ifike hiyo nianze biashara aisee. ila kumbuka hamna biashara mpya ni ubunifu tu.
 
Biashara gani kwa mtaji huo?

Ache Kumkatisha Tamaa Mwenzako. Kwa Biashara Hiyo Akijipanga tu Anaweza Akaanzisha Goli Zuri tu La Kiepe, Akanunua Viti Vyake, Majiko, Vyombo Husika Na Pango La Miezi 6 Na Nina Uhakika Kama Akipata Strategic Place ambayo Ipo Very Populated Hakosi Kati Ya Tsh Elfu 35 Hadi Tsh Elfu 50 Kwa Siku. Cha Msingi tu Apate Kijana Anaejua Kupika Vizuri Kiepe, kutengeneza Vizuri Kachumbari, Pilipili Na Ukwaju Wa Nguvu Atawavutia Mno Vijana, Mabeibe Na Wengineo!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sijui bwana nisamehe siingilii ya kwako, lkn mi wangu nilimfungulia kwa mtaji almost na huo yaani 2.5m vitenge vya Kg wax lkn alianza nyodo kujiona anazo sana jeuri kwangu baadaye mtaji ukakata jeuri ikaisha sasa tunapendana kweli, hivyo tu nakupa tahadhari usije ukawa unafungulia frustration jiandae kwa lo lote!

Mmmmmmmmmh! Lakini Hili Nalo Neno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Lizangitie Sana Kwani Kiukweli Hawa Dada Zetu Wakizikamata Tu Hubadilika Na Kama Una Roho Nyepesi Unaweza Ukaishia KUMGECHA...............Hapo Uwezekano Wa Kuchapiwa Ni Asilimia 99.99999!!!!!!!!!!!!! Ushauri Wangu Mfungulie Goli La Kuuza Mkaa Na Yeye Ndiyo Awe Anashughulika ktk Kuibeba Na Kuiuza Labda Kwakuwa Atakuwa Na Masizi Ya Mkaa Na Amechafuka Wadau a.k.a Wazee Wa Kugonga AU KUGEGEDA Watampotezea Kimtindo Na Kuwa Nafuu Kwako. AU Kama Hutojali Tuwekee Picha Ya Huyo Mkeo Hapa ILI Tutoe Ushauri Ambao Utaendana Na Uhalisia Wa Kimwonekano Wa Huyo Mkeo Isije Ikawa Hata Huko Kuuza Mkaa Kwenyewe Napo Pia Hafai.
 
Aanze kupika maandazi au chapati halafu awe anazitembeza maofisini.
Kama ana haiba yenye mvuto biashara yenu itastawi vizuri tu na soon ataanza kupiga trip za Guangzhou!!

fikiria kama Baba yako ndo awe ameomba ushauri kama huu ili amsaidie mama yako, then kuna mtu anamjibu kama wewe ulivomjibu Mleta uzi.

Hakika ulichojibu kina reflect upeo wako.
 
Nilimfungulia mdogo wangu wa kike saloon ya kike kwa hiyo hiyo 2m sababu alikuwa na interest na saloon kwa gharama zifuatazo
Frem alilipia 70,000 kwa mwezi kodi ya miezi Sita 420,000
hair dryer moja kwa 200,000 na hairstima kwa 300,000
rollas sijuhi mtanikosoa Kama nimekosea pamoja na madawa ya Nywele kwa 300,000
Vioo pamoja na other expensive kwa 400,000 ukiongeza viti na mambo mengine kwa 200,000 inatosha Kabisa
total 1,820,000 na chenji inabaki
 
Mmmmmmmmmh! Lakini Hili Nalo Neno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Lizangitie Sana Kwani Kiukweli Hawa Dada Zetu Wakizikamata Tu Hubadilika Na Kama Una Roho Nyepesi Unaweza Ukaishia KUMGECHA...............Hapo Uwezekano Wa Kuchapiwa Ni Asilimia 99.99999!!!!!!!!!!!!! Ushauri Wangu Mfungulie Goli La Kuuza Mkaa Na Yeye Ndiyo Awe Anashughulika ktk Kuibeba Na Kuiuza Labda Kwakuwa Atakuwa Na Masizi Ya Mkaa Na Amechafuka Wadau a.k.a Wazee Wa Kugonga AU KUGEGEDA Watampotezea Kimtindo Na Kuwa Nafuu Kwako. AU Kama Hutojali Tuwekee Picha Ya Huyo Mkeo Hapa ILI Tutoe Ushauri Ambao Utaendana Na Uhalisia Wa Kimwonekano Wa Huyo Mkeo Isije Ikawa Hata Huko Kuuza Mkaa Kwenyewe Napo Pia Hafai.
Loooh,kuna watu wanamaneno umu ndan mpaka nimecheka kwa nguvu.
 
Ache Kumkatisha Tamaa Mwenzako. Kwa Biashara Hiyo Akijipanga tu Anaweza Akaanzisha Goli Zuri tu La Kiepe, Akanunua Viti Vyake, Majiko, Vyombo Husika Na Pango La Miezi 6 Na Nina Uhakika Kama Akipata Strategic Place ambayo Ipo Very Populated Hakosi Kati Ya Tsh Elfu 35 Hadi Tsh Elfu 50 Kwa Siku. Cha Msingi tu Apate Kijana Anaejua Kupika Vizuri Kiepe, kutengeneza Vizuri Kachumbari, Pilipili Na Ukwaju Wa Nguvu Atawavutia Mno Vijana, Mabeibe Na Wengineo!!!!!!!!!!!!!!!!!
we wajua kutengeneza vizuri Ukwaju chachandu na kuna nyingine nzito nzito kama wa jua 0713665909 ni call nijekijifunza nimekuwa na mpango nimetafiti maeneo poa.
 
Nipo Dar nafanya kazi nimeajiriwa ,kwa sasa nina mil 2 nahitaji msaada wa biashara ya kufanya na mke wangu kwa kuanzia.Naishi maeneo ya kimara baruti na mke wangu anakaa tu home ,yeye anataka nimfungulie biashara lakini mtaji ninao mdogo,Naombeni ushauri

pesa yako ni kubwa mno inatosha watu wanaanza na laki nane tu na ana make vibaya
 
Wa shilingi ngapi? Uchumi huna? Au ujawahi sikia kauli ya Rais wa awamu fulani hapa Tz.
We si ulisema kazi yako kuwaongezea wanawake mtaji?
Mbona unaanza kutoa theories? Kama huna sema mapema
 
Kimsingi inategemea huyo mkeo una mfahamu kwa kiasi gani kama wazo la kuwa na biashara linatoka kwake kuwa na tahadhari kidogo!! wengi huwa wana lenga kujinasua na kuwa tegemezi kutoka kwa waume zao. wakijijengea uwezo ndio huwa mwisho wa heshima kwa waume zao.nimeona familia nyingi zikisambaratika tu kwasababu mke ameweza kudhibiti maisha yake.MAENDELEO NI MUHIMU SANA LAKINI PIA HUJA NA MAMBOLEO YAKE.VININEVYO HUO MTAJI SI HABA UNAWEZA KUFANYA NAO KITU CHA MAANA TU.
 
Halafu wewe mchumba, siku hizi una log in kwa manati. Vipi upo kwenye bunge la katiba nini???
 
Kimsingi inategemea huyo mkeo una mfahamu kwa kiasi gani kama wazo la kuwa na biashara linatoka kwake kuwa na tahadhari kidogo!! wengi huwa wana lenga kujinasua na kuwa tegemezi kutoka kwa waume zao. wakijijengea uwezo ndio huwa mwisho wa heshima kwa waume zao.nimeona familia nyingi zikisambaratika tu kwasababu mke ameweza kudhibiti maisha yake.MAENDELEO NI MUHIMU SANA LAKINI PIA HUJA NA MAMBOLEO YAKE.VININEVYO HUO MTAJI SI HABA UNAWEZA KUFANYA NAO KITU CHA MAANA TU.

maneno kuntu haya!
 
Nilimfungulia mdogo wangu wa kike saloon ya kike kwa hiyo hiyo 2m sababu alikuwa na interest na saloon kwa gharama zifuatazo
Frem alilipia 70,000 kwa mwezi kodi ya miezi Sita 420,000
hair dryer moja kwa 200,000 na hairstima kwa 300,000
rollas sijuhi mtanikosoa Kama nimekosea pamoja na madawa ya Nywele kwa 300,000
Vioo pamoja na other expensive kwa 400,000 ukiongeza viti na mambo mengine kwa 200,000 inatosha Kabisa
total 1,820,000 na chenji inabaki

haya ndo mambo nayotaka mimi umeeleza vizuri kazi kwake tena frame ya elf sabini ni nzuri sana tu
 
Inategemea ni biashara gani kaka, kama ni ya kuuza maandazi mbona ni nyingi sana.
 
Mmmmmmmmmh! Lakini Hili Nalo Neno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Lizangitie Sana Kwani Kiukweli Hawa Dada Zetu Wakizikamata Tu Hubadilika Na Kama Una Roho Nyepesi Unaweza Ukaishia KUMGECHA...............Hapo Uwezekano Wa Kuchapiwa Ni Asilimia 99.99999!!!!!!!!!!!!! Ushauri Wangu Mfungulie Goli La Kuuza Mkaa Na Yeye Ndiyo Awe Anashughulika ktk Kuibeba Na Kuiuza Labda Kwakuwa Atakuwa Na Masizi Ya Mkaa Na Amechafuka Wadau a.k.a Wazee Wa Kugonga AU KUGEGEDA Watampotezea Kimtindo Na Kuwa Nafuu Kwako. AU Kama Hutojali Tuwekee Picha Ya Huyo Mkeo Hapa ILI Tutoe Ushauri Ambao Utaendana Na Uhalisia Wa Kimwonekano Wa Huyo Mkeo Isije Ikawa Hata Huko Kuuza Mkaa Kwenyewe Napo Pia Hafai.

Ay jamani yani mashaka yk yamefikia ushaur wakuuza mkaa ndo salama nikwambie mtu akamua ushenz ni ushenz tu haijalish yko ofisin
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom