Nina milioni 2 tu natafuta kiwanja msalato au veyula dodoma

MANIAJE

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
244
461
Wanabodi habari...

Kichwa Cha habari chahusika

Nina milion 2 tuu natafuta kiwanja dodoma eneo la msalato au veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha hata ikiwa km 3 sio mbaya ilimradi maji na umeme viwe karibu. Asanteni
 
Nilishapata tayari SQM 2250 Msalato karibu na lami kabisa nililipa milion 2.2. na ujenzi nilishaanza acha kukatisha watu tamaa
Umepata Msalato ipi kwa Mzee Chiwanga, msikitini, mnadani au Chihikwi sec
 
Mambo vp kiongozi. Embu niunganishe na Mimi nilikuwa nataka kiwanja maeneo ya miyuji, msalato Hadi veyula vya Bei Kama yako kwa miyuji na msalato, kwa veyula au vijiji vya karibu iwe chini ya 2M. Vilivyopimwa Ni vizuri zaidi. Nitashukuru Sana Kama una hizo connection
 
0762 737 792 mtafute huyu mtu sio dalali ila ni mwenyeji wa mitaa hiyo. Na yeye ndio alieniunganisha kwa mtu muuzaji mwenye Mali. Madalali wapo na ndio wanaopandisha sana bei. Unakuta kiwanja bosi anataka 2M dalali anakiuza 3.5M , wasiliana na jamaa akutafutie
 
Asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom