Nina Milioni 2.3 nahitaji kuongeza mtaji wa vifaa vya simu

godlove5

Member
Oct 7, 2020
32
13
Nina 2.3 ml na duka la biashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu lina thamani ya laki 5 nilikuwa nahitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaidi niweze kuwa nauza hata kwa jumla.

Naomba msaada kujua pakujumua mzigo kwa bei nzuri na nikaongeza bidhaa kwenye duka langu kwahiyo pesa
 
Nina 2.3ml na duka rabiashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu linadhaman ya la5 nilikuwa naitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaid niweze kuwa nauza ata kwa jumla naomba msahada kujua pakujumua mzigo kwabei nzuli na nikaongeza bidha kwenye dukalangu kwaiyo pesa

Upo wapi kiongozi?
 
Hiyo hela ukija nayo hapa kariakoo, unarud na mzigo ambao ukiuza wote unapata faida kubwa mno... Mi pia naungana na huyo mdau alokushauri uje ununue mzigo kariakoo

Asante asa kama kunamtu yupo anaweza niconet na watu wanaojumlisha bizaa izo atakuwa amensaidia sana
 
Nina 2.3ml na duka la biashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu lina thamani ya laki 5 nilikuwa naitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaidi niweze kuwa nauza ata kwa jumla naomba msaada kujua pakujumua mzigo kwa bei nzuri na nikaongeza bidhaa kwenye duka langu kwaiyo pesa
Fungua bakery.
 
Asante asa kama kunamtu yupo anaweza niconet na watu wanaojumlisha bizaa izo atakuwa amensaidia sana
Acha uvivu na uzembe ukija kariakoo maduka utayajua we unakuwa mfanyabiashara harafu unakuwa sio mjanja, unataka kila kitu ulainishiwe utaibiwa au kuuawa hiyo hela si ndogo kama watu wanakufa kwa bodaboda, acha kuuliza sana njoo unauliza duka la jumla la kitu furani,mwisho wa siku utajua ila ukiuliza sana unatengeneza mazingira ya kuibiwa.
 
Ukihitaji bidhaa mbalimbali kutoka Dubai utanicheki.
Whatsapp:+971527794329
IMG_20220722_003744_064.jpg
 
Acha uvivu na uzembe ukija kariakoo maduka utayajua we unakuwa mfanyabiashara harafu unakuwa sio mjanja, unataka kila kitu ulainishiwe utaibiwa au kuuawa hiyo hela si ndogo kama watu wanakufa kwa bodaboda, acha kuuliza sana njoo unauliza duka la jumla la kitu furani,mwisho wa siku utajua ila ukiuliza sana unatengeneza mazingira ya kuibiwa.

Asante
 
Nina 2.3ml na duka la biashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu lina thamani ya laki 5 nilikuwa nahitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaidi niweze kuwa nauza ata kwa jumla.

Naomba msaada kujua pakujumua mzigo kwa bei nzuri na nikaongeza bidhaa kwenye duka langu kwaiyo pesa
Hiv ni kweli hupajui kwa kujumua mzigo au unatutega ....anyway nenda Tandale kwa mtogole utanishukuru baadae
 
Nina 2.3ml na duka la biashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu lina thamani ya laki 5 nilikuwa nahitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaidi niweze kuwa nauza ata kwa jumla.

Naomba msaada kujua pakujumua mzigo kwa bei nzuri na nikaongeza bidhaa kwenye duka langu kwaiyo pesa
Sorry boss , naomba unisaidie no yko nina wazo la kuanzisha iyo ya kuuza accesories za simu
 
Back
Top Bottom