Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
Mkuu elewa tangazo kabla haujakurupuka kujibu!Ml 22 hiyo kawatafute wa migodini nilipo 17 napata reg c wewe unaongelea bty???:faint2:
fob(japan) usd 4,266Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
fob(japan) usd 4,266
value tra usd 6000
ushru: 9,278,138
n;b weka freight
_,,_ insurance
_,,_ shipping line chargers
_,,_ port chargers
_,,_ reg; fee
__,,_ agence fee
nyingine malizia mwenyewe uone hy 12m kama inatosha
yawezekana anatania tu
Prado 12m?? are you kidding?? kanunu suzuki wagon RJamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
Anataka kushinda gereji
fob(japan) usd 4,266
value tra usd 6000
ushru: 9,278,138
n;b weka freight
_,,_ insurance
_,,_ shipping line chargers
_,,_ port chargers
_,,_ reg; fee
__,,_ agence fee
nyingine malizia mwenyewe uone hy 12m kama inatosha
hiyo Budget yako tu ni pesa ya ushuru wanaocharge TRA kwa Prado ya Mwaka 1996. labda kama unataka prado isiyokuwa na Engine, Matairi na viti!! otherwise ni scraper unayohitaji..Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
Mkuu ipo inatumia petrol imetembembea kilometer 150000 ipo kwenye hali nzuri sana. Bei ni 16m.