Nina milioni 10, naweza kuanzisha biashara gani?

asante bro kwa wazo lako zuri.naomba na wengine watoe mawazo yao.
 
Kule karatu nasikia wanabadilishana gunia la mahindi kwa mbuzi 4,
changamkia fursa
 
Njoo na tano tuwe partner kwenye kufuga samaki.Nina mabwawa tayari.maji yapo.kila kitu kipo isipokua mbegu haijatosha.nipo BAGAMOYO.samaki kuvuna mienzi 6 .ukitak Maelezo zaidi karibu pm
 
nipo tayari mkuu naomba namba yako simu tuwasiliane private.

nipo tayari kaka nipe namba yako nikutafute
Mkuu siku nyingine ukiwa unamjibu mtu na ukitaka aione reply yako, uwe unafanya kum-quote.

Nimechelewa kuona reply zako sababu sikupata notification.

Anyway karibu sana.
utaanza na:

kilomo cha vitunguu maji
Then baada ya muda na mtaji kuwa umeongezeka, unaongeza na cha nanasi.

Karibu sana
 
thread za kiume kama hizi nazikubali.sana mwezi.wa.tano.nami nategemea milion15 najifunza vitu
 
Back
Top Bottom