Nina mikanda ya kizamani, nataka kuihamisha kwenye CD au Flash

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,896
2,000
Nina Mkanda wa video ile mikubwa ya kizaman VHD kama sijakosea sasa nataka kuhamisha kilichomo ktk Cd au FLASH...Wapi wana utaalam huo?
Mkuu hauna kazi nyingine ya kufanya sikutusi labda ndo kazi yako ila najua jinsi ilivyo ngumu kurekodi conversion ya vhs to flash drive, unaweza pray movie ya 2hrs kutoka vhs to flash drives via converter box na ukasubiri kweli lakini una movies ngapi kwenye hiyo Mikanda na je haipatikani youtube na torrent sites ambako movies ya saa mbili wakati wa kuconveti ungetumia dakika 10 kudownload?

Anyway tafuta converter box/ VHS-VCR CONVERTRR na Bei yake ungeweza shusha hizo movie zote kwa internet
 
GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,362
2,000
Mkuu hauna kazi nyingine ya kufanya sikutuai ila najua jinsi ilivyo ngumu kurekodi conversion ya vhx to flash drive, unaweza pray movie ya 2hrs kutoka vhs to flash drives via converter box na ukasubiri kweli lakini una movies ngapi kwenye hiyo Mikanda na je haipatikani yotutube na torrent sites ambako movies ya saa mbili wakati wa kuconveti ungetumia dakika 10 kudownload?

Anyway tafuta converter box/ VHS-VCR CONVERTRR na Bei yake ungeweza shusha hizo movie zote kwa internet
Mara nyingi wanaohangaika na hii huwa video zake ni "Priceless "

Kama Sherehe za harusi, vipaimara nk sidhan kama ni muvi tu

Nilishawahi kumbadilishia anko wangu mwaka 2008
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,462
2,000
Mkuu hauna kazi nyingine ya kufanya sikutusi labda ndo kazi yako ila najua jinsi ilivyo ngumu kurekodi conversion ya vhs to flash drive, unaweza pray movie ya 2hrs kutoka vhs to flash drives via converter box na ukasubiri kweli lakini una movies ngapi kwenye hiyo Mikanda na je haipatikani youtube na torrent sites ambako movies ya saa mbili wakati wa kuconveti ungetumia dakika 10 kudownload?

Anyway tafuta converter box/ VHS-VCR CONVERTRR na Bei yake ungeweza shusha hizo movie zote kwa internet
Video za matukio yake binafsi kama graduation, sherehe za kidini, na harusi akatafute kwenye torrents?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,959
2,000
Solution ya kienyeji kama una tv tuner/box ambayo inawezesha kuconnect king'amuzi na laptop/desktop tumia hio.

Weka mkanda wako kwenye deki, kisha connect deki na tuner video yako itaplay kwenye laptop, record video kwa kutumia screen recorder
 
Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
234
250
Mkuu hauna kazi nyingine ya kufanya sikutusi labda ndo kazi yako ila najua jinsi ilivyo ngumu kurekodi conversion ya vhs to flash drive, unaweza pray movie ya 2hrs kutoka vhs to flash drives via converter box na ukasubiri kweli lakini una movies ngapi kwenye hiyo Mikanda na je haipatikani youtube na torrent sites ambako movies ya saa mbili wakati wa kuconveti ungetumia dakika 10 kudownload?

Anyway tafuta converter box/ VHS-VCR CONVERTRR na Bei yake ungeweza shusha hizo movie zote kwa internet
...Sio move mkuu ni tukio langu la kihistoria lilifanyika kipindi hicho so nataka kuweka humo kwa ajil ya kutunza na some times kujikumbusha...mi mkongwe kipindi tukio linafanyika hiyo ndio ilikua technolog kwa wakat huo
 
Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
234
250
Mara nyingi wanaohangaika na hii huwa video zake ni "Priceless "

Kama Sherehe za harusi, vipaimara nk sidhan kama ni muvi tu

Nilishawahi kumbadilishia anko wangu mwaka 2008
...Thamkx Mkuu kwa kunielewa...Sasa Je Utanisaidiaje
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,561
2,000
Weka mkanda wako kwenye deki, kisha connect deki na tuner video yako itaplay kwenye laptop, record video kwa kutumia screen recorder
VHD kama sijakosea sasa nataka kuhamisha kilichomo ktk Cd au FLASH...Wapi wana utaalam huo?
1627922081062.png

1627922146393.png

Hivi vifaa vinapatikana aliexpress.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom