Nina miezi sita sijafanya mapenzi, mke wangu analea

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
10,326
10,943
Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa mbele ya mashahidi kua "nitamvulia mwenzangu kwa maradhi na uzima"? Sasa mwenzangu ndio hivyo kama alivyo.

Na alivyo kalilishwa vibaya kua akinipa, mtoto atabemendeka! ndio usiseme. Nifunzeni mkubwa mwenzenu jinsi ya kujikwamua na mtihani huu, maana hali inakaribia kunishinda.

Sitaki nibake kuku nikaonakana kituko mbele ya jamii.
 
Mtongoze upya huku unamchombeza kwamba "mtutu usipopitishwa mdeki kwa muda mrefu,risasi hutoka chachu sana"!LOL!
 
Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa mbele ya mashahidi kua "nitamvulia mwenzangu kwa maradhi na uzima"? Sasa mwenzangu ndio hivyo kama alivyo. Na alivyo kalilishwa vibaya kua akinipa, mtoto atabemendeka! ndio usiseme. Nifunzeni mkubwa mwenzenu jinsi ya kujikwamua na mtihani huu, maana hali inakaribia kunishinda. Sitaki nibake kuku nikaonakana kituko mbele ya jamii.
shukuru unapenda mpira na hisi utakuwa unazipungua kwa kichapo cha timu yako..
 
Mtongoze upya huku unamchombeza kwamba "mtutu usipopitishwa mdeki kwa muda mrefu,risasi hutoka chachu sana"!LOL!
Me ndio wasiwasi mkubwa huo. Isije siku ndio unapewa kwa maranyingine nahuku gobole limesusa.
 
Chukua Sabuni Na Maji Osha Rungu Huku Mkono Wako Mmoja Ukiwa Na Povu La Sabuni
 
Miezi mitano mdau umevumilia aise na endelea na moyo huo huo aise mama apone bana Kitoabu mbona umeweza kukaa miezi yote hiyo muda uliobaki kabla ya kuifurahia tena ndoa yako ni mchache sana
Mpe muda aise mfupi sana na atarejea kuwa wako si unajua ukiingia kihasara unaweza jikuta ana mimba nyingine
 
Last edited by a moderator:
pole, mimi kila waifu akijifungua huwa namsubiria miezi miwili na siku kumi (70day) baada ya hapo ni rungu kwenda mbele, ila uwe makini unaweza kuta mtoto ananyonya na mama ana mimba ingine usipokuwa makini kwasababu wanasema kizazi kinakuwa kimesogea sana na kipo wazi ukigusa tu tiyari.

watu wanaosema ati kulala na aliyejifungua hadi miaka miwili kama kijijini ati utamharibu mtoto ni waongo tu, mimi na waifu tunatandikana tunaoga tunashika watoto, usimshike kabla haujaoga, hakuna madhara yeyote. ila ukimkuta mwanamke mshamba anakwambia mtoto hadi aache kunyonya, kwani wewe utakojoa ndani? utakuwa na akili kweli hadi ukojoe ndani? unatakiwa upige withdrawal ya nguvu ama la tumia kinga. vitanzi vya kuzuia mimba huwezi kuweka mapema kwasababu miezi mitatu wengine damu/hedhi inakuwa haijaanza na ili kuweka vipini etc unatakiwa kuona hedhi na madoctor uwaambie lini siku ya mwisho kuona damu etc.dawa yake ni withdrawal tu unakuwa makini na hakuna mimba wala nini.
 
mtishie unahisi kubakwa bakwa na wanawake wa nje atakuelewa
Hapana mkuu, akiliyangu inanituma nijipoze kwa beki 3 tu. Tatizo wapi nitaiweka surayangu pindi yakiharibika.
 
Miezi mitano mdau umevumilia aise na endelea na moyo huo huo aise mama apone bana Kitoabu mbona umeweza kukaa miezi yote hiyo muda uliobaki kabla ya kuifurahia tena ndoa yako ni mchache sana
Mpe muda aise mfupi sana na atarejea kuwa wako si unajua ukiingia kihasara unaweza jikuta ana mimba nyingine
Ahsante mkuu. Lakini nimuda gani sahihi wakurudi mzigoni? Maana mwenzangu ananikatisha tamaa kabisaaa! Eti anadai, mpaka mtoto amalize kunyonya? Jamani mpaka muda huo nitakua mtu kweli?
 
Last edited by a moderator:
Chukua Sabuni Na Maji Osha Rungu Huku Mkono Wako Mmoja Ukiwa Na Povu La Sabuni

Nyeto tena! Mpaka akimaliza kunyonyesha na gobole lenyewe si lishaharika tena? Hiyo nawaachia -18.
 
Uswahilini ni siku 40 tu,
Uchagani ni miezi 3 tu,
Hayo mengine ni mbwembwe tu;
Anza mdogo mdogo.
Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa mbele ya mashahidi kua "nitamvulia mwenzangu kwa maradhi na uzima"? Sasa mwenzangu ndio hivyo kama alivyo.

Na alivyo kalilishwa vibaya kua akinipa, mtoto atabemendeka! ndio usiseme. Nifunzeni mkubwa mwenzenu jinsi ya kujikwamua na mtihani huu, maana hali inakaribia kunishinda.

Sitaki nibake kuku nikaonakana kituko mbele ya jamii.
 
Ahsante mkuu. Lakini nimuda gani sahihi wakurudi mzigoni? Maana mwenzangu ananikatisha tamaa kabisaaa! Eti anadai, mpaka mtoto amalize kunyonya? Jamani mpaka muda huo nitakua mtu kweli?

Mkuu Kitoabu nafikiri miezi mitatu akishamaliza uzazi bana
Mpaka amalize kunyonya mbona majanga. Mi mtoto wangu ana miaka miwili na kitu na bado analitafuta ziwa anyonye aise ukae miaka miwili hujaonana na wife hilo ni gereza au adhabu mkuu. Miezi mitatu naamini inatosha kabisa ni kuwa tuu makini maana hesabu zao hapo huwa zimeharibika unaweza kujikuta ana mimba nyingine aise usipikuwa makini
Na naamini anachoogopa mke wako ni mimba wala sio suala la kusema mtoto mpaka aache kunyonya
 
Miezi sita mbona ruksaaa?????

Mtongoze vizuri mkeo

Anyway mmenionea Tyta mahala???

Back
Top Bottom