Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,327
- 10,943
Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa mbele ya mashahidi kua "nitamvulia mwenzangu kwa maradhi na uzima"? Sasa mwenzangu ndio hivyo kama alivyo.
Na alivyo kalilishwa vibaya kua akinipa, mtoto atabemendeka! ndio usiseme. Nifunzeni mkubwa mwenzenu jinsi ya kujikwamua na mtihani huu, maana hali inakaribia kunishinda.
Sitaki nibake kuku nikaonakana kituko mbele ya jamii.