Nina miaka zaidi ya 30 sina ninachomiliki, nahisi kukata tamaa. Msaada wenu

Ndugu yangu alimaliza form four akiwa na miaka 18 matokeo yakayoka akapata Division Zero. Familia yake ni masikini sana hivyo ndugu wakamchangia akasoma udereva Veta

Baba wa rafiki yake anafanya biashara ya Bajaji na alikuwepo dereva mmoja anazingua hesabu. Rafiki yake alimshawishi mzee aichukue hiyo bajaji na kumpa dogo kwa mkataba...dogo akapewa mashine akaingia barabarani

Pamoja na kupata ajali za hapa na pale na kufidia uharibifu wa magari ya watu aliyogonga,dogo alimaliza mkataba na sasa anaimiliki bajaji yake hapa Dodoma

Dogo ana miaka 21 na ameniahidi mwezi wa tisa ananunua bajaji yake ya pili,aendeshe yeye na hii ampe mtu kwa mkataba!

Kwa maelezo yako inaonekana wewe ni msomi mkuu na unachagua kazi. Kuna kazi fulani unaona sio levo yako wakati hapo ndipo palipobeba utajiri wako. Ingia front mkuu,maisha ni vita! BADILIKA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona ivyo ujue ulisha geuzwa fursa sana.....ebu jaribu kuangalia wapi ulikosea.....kwani mda bado unao.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu yangu alimaliza form four akiwa na miaka 18 matokeo yakayoka akapata Division Zero. Familia yake ni masikini sana hivyo ndugu wakamchangia akasoma udereva Veta

Baba wa rafiki yake anafanya biashara ya Bajaji na alikuwepo dereva mmoja anazingua hesabu. Rafiki yake alimshawishi mzee aichukue hiyo bajaji na kumpa dogo kwa mkataba...dogo akapewa mashine akaingia barabarani

Pamoja na kupata ajali za hapa na pale na kufidia uharibifu wa magari ya watu aliyogonga,dogo alimaliza mkataba na sasa anaimiliki bajaji yake hapa Dodoma

Dogo ana miaka 21 na ameniahidi mwezi wa tisa ananunua bajaji yake ya pili,aendeshe yeye na hii ampe mtu kwa mkataba!

Kwa maelezo yako inaonekana wewe ni msomi mkuu na unachagua kazi. Kuna kazi fulani unaona sio levo yako wakati hapo ndipo palipobeba utajiri wako. Ingia front mkuu,maisha ni vita! BADILIKA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe sana kaka

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom