Nina miaka 42, sijui nitaruhusiwa kusoma diploma??

Mwambie mkuu wengine wana degree na diploma izo za afya ila wanaisoma namba kitaa, bora upambane tuu iyo ada uifanye kua mtaji
Mmoja Alimaliza Diploma Singida Akasema Azae Milango Itafunguka Haa Haa Mpaka Sasa Hivi Hali Tete Sana
 
Wakuu wana JFnaomben mawazo yenu... hali kitaa ni ngumu umri umekwenda sijapata ajira. Nataka nisome diploma ya afya nina miaka 42. Je nitaruhusiwa kusoma kwa umri huo au serikali itanizuia nisisome.

Je, naweza ajiriwa baada ya kumaliza kusoma diploma ya afya??
Miaka uliyonayo jumlisha miaka3 ya diploma siitakiwa htreee serikalini watakukataa
 
Back
Top Bottom